Kwa wale mnaotumia simu kubrowse,msaada huu hapa ili uweze kuifaidi jf vizuri

Mamaya

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
4,787
3,682
habari wana jf.
ningependa kushare nanyi kile nilichokipata kwa wale wasiokuwa nacho, hasa wale wanaotumia cm. kuna program moja browser for mobile phones inaitwa BOLT. Najua wengi mnatumia Opera Mini au Uc browser, lakini hii BOLT ni tofauti na nyinginezo inafanya display yako iwe na status kama unavyotumia computer.

Yaani inaonyesha kama specs zote kama unavyotumia cmptr, mfano kma ni mwana jf itakuonyesha kama wewe ni senior, junior or premium member wa jf, join date yako, idadi ya post zako, likes, notifications, avator yako.

Kama huna utaweza kuweka avator yako kwa kutumia cm yako, inshort is as u use real a computer. cna uzoefu sana ningewawekea link ya kuipata hiyo bolt, ila ukigoogle utaipata kwa kuandiaka, bolt mobile browser freedownload utaipata hiyo kitu. thx
 
Mkuu, nimekupata lakini hata kwa simu za kichina? Mimi hapa napata vitu vyote kwenye BlackBerry Torch
 
Ubarikiwe ingawa kale ka senkisi ka kimobile kameondolewa itabidi watuwekee haka ka laiki ka kifesibuki tuwe tunagawana vishukurani baba.
 
Derimto nakutumia simu yangu uniwekee mimi muda wa kugoole sina. Nipigie cm baadae unaimbie wapi nikutee hiyo.
 
Thanks for invaluable information. Umetusaidia wengi mkuu! Tungekuwa na watu wenye msaada kama wewe nadhani JF ingekuwa chanzo kikuu cha mabadiliko Tanzania. Lakini wengi humu wamekalia umbea, udini na kushangilia vyama tu.
 
Ha! Ha! Ha! Mwita25 hivi uwa uendi kule MMU kutafuta mademu?
 
habari wana jf.
ningependa kushare nanyi kile nilichokipata kwa wale wasiokuwa nacho, hasa wale wanaotumia cm. kuna program moja browser for mobile phones inaitwa BOLT. Najua wengi mnatumia Opera Mini au Uc browser, lakini hii BOLT ni tofauti na nyinginezo inafanya display yako iwe na status kama unavyotumia computer.

Yaani inaonyesha kama specs zote kama unavyotumia cmptr, mfano kma ni mwana jf itakuonyesha kama wewe ni senior, junior or premium member wa jf, join date yako, idadi ya post zako, likes, notifications, avator yako.

Kama huna utaweza kuweka avator yako kwa kutumia cm yako, inshort is as u use real a computer. cna uzoefu sana ningewawekea link ya kuipata hiyo bolt, ila ukigoogle utaipata kwa kuandiaka, bolt mobile browser freedownload utaipata hiyo kitu. thx

NB. najua hii thred ilitakiwa iwe kule jukwaa la tech& gadgets, but nimeona niiiweke hapa kwa faida ya wengi kwani kule wapitaji ni wachache sana.

senkyu ticha
 
Mkuu, nimekupata lakini hata kwa simu za kichina? Mimi hapa napata vitu vyote kwenye BlackBerry Torch

sijui mkuu huenda inakubali.angalia kama inasuport java progrms manake simu nyingi za kichina ziassuport nintendo.
 
Thanks for invaluable information. Umetusaidia wengi mkuu! Tungekuwa na watu wenye msaada kama wewe nadhani JF ingekuwa chanzo kikuu cha mabadiliko Tanzania. Lakini wengi humu wamekalia umbea, udini na kushangilia vyama tu.

pomoja mkuu.
 
duh iko fasta mkuu ila maandishi yanakuwa madogo, nimezoom xxlarge lkn bado ila picha zinaonekana vizuri. mkuu ahsante saaana
 
yah. Maandishi yanakuwa madogo hivyo unatakiwa uzoom.kwa wanatumia touch display pana ni bomba sana kwao tofauti na mwenye cm yenye display ndogo
 
habari wana jf.
ningependa kushare nanyi kile nilichokipata kwa wale wasiokuwa nacho, hasa wale wanaotumia cm. kuna program moja browser for mobile phones inaitwa BOLT. Najua wengi mnatumia Opera Mini au Uc browser, lakini hii BOLT ni tofauti na nyinginezo inafanya display yako iwe na status kama unavyotumia computer.

Yaani inaonyesha kama specs zote kama unavyotumia cmptr, mfano kma ni mwana jf itakuonyesha kama wewe ni senior, junior or premium member wa jf, join date yako, idadi ya post zako, likes, notifications, avator yako.

Kama huna utaweza kuweka avator yako kwa kutumia cm yako, inshort is as u use real a computer. cna uzoefu sana ningewawekea link ya kuipata hiyo bolt, ila ukigoogle utaipata kwa kuandiaka, bolt mobile browser freedownload utaipata hiyo kitu. thx

NB. najua hii thred ilitakiwa iwe kule jukwaa la tech& gadgets, but nimeona niiiweke hapa kwa faida ya wengi kwani kule wapitaji ni wachache sana.

huo utundu tunao sana tu, tatizo la Bolt, kwenye simu original hasa za Nokia zinatoa warning kwa kuwa Bolt haipo secured, na haijasajiwa kama browser salama. Pia Bolt haiwezi ku-upload picha na kubadili avatar, ukibadili Jf inakataa na kusema haipo secured so inabidi uweke password upya. Njia nzuri ni kutumia UC browser, nenda kwenye settings and badili 'WAP' iweke 'WEB' utaweza kufanya kila kitu. Pia Bolt ukitumia facebook marafiki wanaonyeshwa kuwa upo online. Tunachokitaka hapa ni JF PC MODE irudishwe. Kwa kutumia Opera ilikuwa imetulia sana na unaweza mpaka kubadili avatar.

Kwa wanaotaka kui-download Bolt Browser wafungue hapa:

www.boltbrowser.com
 
mkuu imekubali.asante sana hata ile likes naona ipo.unaweza kutumia vikaragosi.tatizo niloliona ni kureply thread.wanakuambia umeandika maneno machache.sijui wanataka uandike gazeti!.lakini inaifunika pc mode ya jf.ngoja niendelee kusubili pc mode ya jf hapa bolt.mia
 
mkuu , je na kwenye tab inakubali

android on GalaxyTab

asante
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom