Mamaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 4,791
- 3,717
habari wana jf.
ningependa kushare nanyi kile nilichokipata kwa wale wasiokuwa nacho, hasa wale wanaotumia cm. kuna program moja browser for mobile phones inaitwa BOLT. Najua wengi mnatumia Opera Mini au Uc browser, lakini hii BOLT ni tofauti na nyinginezo inafanya display yako iwe na status kama unavyotumia computer.
Yaani inaonyesha kama specs zote kama unavyotumia cmptr, mfano kma ni mwana jf itakuonyesha kama wewe ni senior, junior or premium member wa jf, join date yako, idadi ya post zako, likes, notifications, avator yako.
Kama huna utaweza kuweka avator yako kwa kutumia cm yako, inshort is as u use real a computer. cna uzoefu sana ningewawekea link ya kuipata hiyo bolt, ila ukigoogle utaipata kwa kuandiaka, bolt mobile browser freedownload utaipata hiyo kitu. thx