Kwa wale mnaopenda 'Mambo ya Mombasa', tahadhari sana!

Jamani mbona hiyo ni mboga nzuri tu...kilichopo ni mazoea hapa kwetu tz jamii nyingi hazitumii..kwetu ni kitoweo na choma yake ni safi..haina sumu hata kidogo..
 
kwa mkoa fulani ni kitoweo cha kawaida ila wachinjaji wameniudhi ni wachafu kuliko mbwa
 
hicho chakula ni kitamu sana hasa uchanganye na sukumawiki utajing'ata vidole vyote kwa utamu mwamibie nije kumpikia huyo
kwa mkoa fulani ni kitoweo cha kawaida ila wachinjaji wameniudhi ni wachafu kuliko mbwa
 
duh, basi makubwa. yaani mbwa kudadadeki wanamkamata anachinjwa anaandaliwa jioni anachomwa ka mshkaki. hao mbwa nina wasiwasi nao si ajabu wanaweza kuwa wale wa kitaa tu ambao masikini watu hawajui kama mzima au ndo wale vichaa.

asante kwa uzi huu mkuu
 

Similar Discussions

19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom