Kwa wale mnaopenda 'Mambo ya Mombasa', tahadhari sana!

Biashara ya mishkaki mitaa ya Mama Ngina Drive, Likoni Ferry, nasikia mateja washafanya mbwa kua dili
afu wanawauzia watu eti ni mishkaki. Kudadeki!

Msiseme sikuwahabarisha.

8032221238_ddda6d5ed5_b.jpg

Mkuu; Kwani nyama ya mbwa sio chakula? Rejea enzi za Tanangozi - Tuliokula tupo hapa na tunachangia threads. Wee vp??
 
Biashara ya mishkaki mitaa ya Mama Ngina Drive, Likoni Ferry, nasikia mateja washafanya mbwa kua dili
afu wanawauzia watu eti ni mishkaki. Kudadeki!

Msiseme sikuwahabarisha.

8032221238_ddda6d5ed5_b.jpg

Bwege sana wewe.
Rekebisha heading kwanza.
Muone kwanza

CC Depal
 
Similar Discussions

19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom