Kwa wale mnaopenda 'Mambo ya Mombasa', tahadhari sana!

Not bad, as long as haitakuua na hujui haikupi shida. Si unajua ignorance is bliss.
 
unashtuka leo!
Bongo ipo mpaka mishkaki ya paka. kuna mtu kakamatwa Tandika na vichwa vya paka kibao kwake. Wakafikiri mchawi lakini siri ikajulikana mana yeye ni muuza mshikaki maarufu sana na watu wanaikimbilia.
 
dah mkuu....ulivyosema mambo ya Mombasa nilivyokuja mbio kidogo nitenguke......kumbe mambo ya Mombasa yapo mengi.....
Ukweli hata mimi nilidhani kuwa mambo ya Mombasa ni yale mambo yetu kumbe ni mengine kabisa. Ama kweli Mombasa kuna vituko sana
 
Niliposikia mambo ya Mombasa nikajua ni mambo ya lenzi mbinuko!sasa aahh mambo ya kula mbwa tena!aarrggh!!!
 
Back
Top Bottom