Kwa wale mnaopenda 'Mambo ya Mombasa'...tahadhari sanaaa!!!


Kikombo

Kikombo

Member
Joined
Jun 29, 2012
Messages
62
Likes
42
Points
25
Kikombo

Kikombo

Member
Joined Jun 29, 2012
62 42 25
Jamani mbona hiyo ni mboga nzuri tu...kilichopo ni mazoea hapa kwetu tz jamii nyingi hazitumii..kwetu ni kitoweo na choma yake ni safi..haina sumu hata kidogo..
 
I

itajulikana

Member
Joined
Feb 25, 2012
Messages
8
Likes
0
Points
3
I

itajulikana

Member
Joined Feb 25, 2012
8 0 3
Mbona mawazo ni huko huko tu? au kwakua ndo ulipitia?
 
BUCHANAGANDE

BUCHANAGANDE

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2011
Messages
1,428
Likes
45
Points
145
BUCHANAGANDE

BUCHANAGANDE

JF-Expert Member
Joined Sep 8, 2011
1,428 45 145
Hayo ni mambo ya Iringa, si Mombasa bwana
 
Mtalingolo

Mtalingolo

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2011
Messages
2,186
Likes
17
Points
135
Age
29
Mtalingolo

Mtalingolo

JF-Expert Member
Joined Aug 4, 2011
2,186 17 135
dah mkuu....ulivyosema mambo ya Mombasa nilivyokuja mbio kidogo nitenguke......kumbe mambo ya Mombasa yapo mengi.....
Utaja teguka kweli ndugu
 
kashesho

kashesho

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Messages
4,946
Likes
1,246
Points
280
kashesho

kashesho

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2012
4,946 1,246 280
kwa mkoa fulani ni kitoweo cha kawaida ila wachinjaji wameniudhi ni wachafu kuliko mbwa
 
D

dav22

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Messages
1,897
Likes
38
Points
145
D

dav22

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2012
1,897 38 145
dah mkuu....ulivyosema mambo ya Mombasa nilivyokuja mbio kidogo nitenguke......kumbe mambo ya Mombasa yapo mengi.....
da mwenyewe nimekuja mbio ile balaa kumbe da ...........
 
ladyfurahia

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Messages
13,908
Likes
1,396
Points
280
ladyfurahia

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined May 10, 2011
13,908 1,396 280
si kama tanga ndugu yangu ulikuwa hujui kwamba nayo iko pwani ndo mambo ya mombasa hayo
ukiangusha hela inabidi uisamehe...ukiinama tu unalo!!
 
ladyfurahia

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Messages
13,908
Likes
1,396
Points
280
ladyfurahia

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined May 10, 2011
13,908 1,396 280
hicho chakula ni kitamu sana hasa uchanganye na sukumawiki utajing'ata vidole vyote kwa utamu mwamibie nije kumpikia huyo
kwa mkoa fulani ni kitoweo cha kawaida ila wachinjaji wameniudhi ni wachafu kuliko mbwa
 
H

Halfan.salim

New Member
Joined
Oct 8, 2013
Messages
2
Likes
0
Points
0
Age
31
H

Halfan.salim

New Member
Joined Oct 8, 2013
2 0 0
Kwa wale wanaopenda kufuga ndevu wakisema ni suna wasitembe Kenya, hususani Mombasa
 
mwallu

mwallu

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2013
Messages
6,784
Likes
172
Points
160
mwallu

mwallu

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2013
6,784 172 160
uwa nahisi nyama ya mbwa itakua na utamu kama ya mbuzi
 
Mapi

Mapi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2011
Messages
6,864
Likes
180
Points
160
Mapi

Mapi

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2011
6,864 180 160
tabia mbaaaaya...ndio nini kunikmbiza hvo
 
Ibrahim300

Ibrahim300

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2010
Messages
388
Likes
5
Points
35
Ibrahim300

Ibrahim300

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2010
388 5 35
Mombasa raha...joto ndio raha yote pamoja na ufuo wa bahari
 
Remote

Remote

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Messages
16,432
Likes
3,239
Points
280
Remote

Remote

JF-Expert Member
Joined May 20, 2011
16,432 3,239 280
dah mkuu....ulivyosema mambo ya Mombasa nilivyokuja mbio kidogo nitenguke......kumbe mambo ya Mombasa yapo mengi.....
Preta kumbe mambo ya Mombasa wayapenda eeeh
 
Last edited by a moderator:
thegreen

thegreen

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2013
Messages
252
Likes
15
Points
35
thegreen

thegreen

JF-Expert Member
Joined May 22, 2013
252 15 35
duh, basi makubwa. yaani mbwa kudadadeki wanamkamata anachinjwa anaandaliwa jioni anachomwa ka mshkaki. hao mbwa nina wasiwasi nao si ajabu wanaweza kuwa wale wa kitaa tu ambao masikini watu hawajui kama mzima au ndo wale vichaa. sante kwa uzi huu mkuu
 
ladyfurahia

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Messages
13,908
Likes
1,396
Points
280
ladyfurahia

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined May 10, 2011
13,908 1,396 280
nyie mnashangaa hiyo nyama
mwenzenu nililishwa flog na wachina chezea wachina weyeee
 

Forum statistics

Threads 1,251,870
Members 481,917
Posts 29,788,401