Kwa wale mnaopenda 'Mambo ya Mombasa'...tahadhari sanaaa!!!


Ab-Titchaz

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Messages
14,702
Likes
143
Points
135
Ab-Titchaz

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined Jan 30, 2008
14,702 143 135
Biashara ya mishkaki mitaa ya Mama Ngina Drive,Likoni Ferry...nasikia mateja washafanya mbwa kua dili
afu wanawauzia watu eti ni mishkaki. Kudadeki!!!!

Msiseme sikuwahabarisha.... 
FirstLady1

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Messages
16,727
Likes
802
Points
280
FirstLady1

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2009
16,727 802 280
Asante sana kwa taarifa
Sitaki tena mishikaki dah kwa style hii nahisi hata Bongo imeshaingia
 
salosalo

salosalo

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2012
Messages
579
Likes
107
Points
60
salosalo

salosalo

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2012
579 107 60
dah mkuu....ulivyosema mambo ya Mombasa nilivyokuja mbio kidogo nitenguke......kumbe mambo ya Mombasa yapo mengi.....
Tehe tehe teheeee....!!!!!!!!!!!!!!!!
 
salosalo

salosalo

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2012
Messages
579
Likes
107
Points
60
salosalo

salosalo

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2012
579 107 60
Asante sana kwa taarifa
Sitaki tena mishikaki dah kwa style hii nahisi hata Bongo imeshaingia
Dah wewe unanishangaza sana, eti unahisi hata bongo imeshaingia, Ni leo sasa? ohoo chezea mishikaki wewe. Hata ukienda kuchoma nyama sehemu usizoziaminiamini hakikisha baada ya kuchoma wanakuja kuikatakata palepale ulipo baada ya kujiridhisha ni ile uliyochagua
 

Forum statistics

Threads 1,251,870
Members 481,917
Posts 29,788,401