Kwa wale mnaofuatilia BBC world news Tv naona kama Cummings anajidhalilisha

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,664
Nilikuwa namheshimu sana Mr Dominic Cummings tangu zamani na hasa alipoanza kuwa mshauri mkuu wa waziri mkuu wa U.K. kipindi cha hoja ya kujiondoa kwenye umoja wa ulaya ila leo ameniaacha hoi.

Japo ni mhafidhina kama mimi ila hapa alipaswa resign bila kweli

Waandishi wamemkaba sawasawa

Kwa wasio fahamu mshauri huyu anashutumiwa na umma wa wananchi kwa kutoka nje na kuzunguka akitoka London mpaka Kwan Durham kwa gari kipindi serkali ikiwa umeui mtu yoyote kutoka nje
 
Ilikuwa busara kujiuzulu kuwapa heshima madaktari rather than destroying his reputation kuongea urojo
 
Amefanya makosa lakini sidhani kujuzuru ni suluhu kwani zaidi ya watu 14,000 mpaka sasa wamepigwa faini ambayo ni mpaka £3200 inategemea
Hapa tumefungiwa ndani zaidi ya miezi miwili na inabidi tukae tu ndani ila watu wanatoka na kwenda mbali na inategemea na bahati yako
Hapa naona watu wanataka appeal kurudishiwa hela zao
Nafikiri na yeye angepigwa fine tu au Vipi

Nakumbuka commissioner wa police kuna wakati alikamatwa akiwa kwenye jaguar yake aliendesha zaidi ya 100 miles/ hour akasimamishwa na police na kukatwa point na fine pia ila hakujiuzuru ingawa yeye ndio mkubwa wa police
 
Hapa wa buza kwa lulenge hatuelewi what's going on kwakweli!!!
 
Back
Top Bottom