Kwa wale mnaodaiwa fine za magari lipeni

mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
80,834
106,028
kwa wale mnaodaiwa fine za magari yenu sahv
Hata ukilipaki chini ya mwembe linafatwa tu
Mpaka mlipe madeni

Ova
20210123_102705.jpg
 
Chini ya mwembe? are you serious? Kama gari yangu mbovu je?

Trafik anaruhusiwa kukamata gari yenye makosa ikiwa barabarani inatembea.

Sent from my TECNO S1 using JamiiForums mobile app
Umekuja tanzania lini mkuu?kama ni jana au leo umepitwa na mengi....ila usiombe ubambwe na gari lako bovu chini ya muembe hata uonyeshe katiba,pinalcode ,tr....pesa itakutoka tu
 
Back
Top Bottom