Kwa wale mliofanya Aptitude Test ya PSPF

SJUMAA26

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
607
167
Wanabodi,

Habari nilizozipata hivi punde ambazo bado sijazithibitisha zinasema ile "Aptitude Test" iliyofanyika Jumamosi iliyopita kwa ajili ya nafasi mbalimbali za kazi zilizotangazwa na PSPF ilikuwa ni geresha tu na kwamba nafasi hizo tayari zimeshajazwa na wahusika wenye vi-memo kutoka kwa "wakubwa" wa "inji" hii! Inasemekana ugumu wa "test" hiyo ulilenga kuwaaminisha watahiniwa kuwa hata wasipochaguliwa basi wakubaliane na hali hiyo kirahisi!
 
Acha kukatisha tamaa wenzako, kwani hata IFM hawajamaliza kusahihisha na kukabidhi matokeo, PSPF. Kama huna taarifa sahihi ni bora ukae kimya
 
Acha kukatisha tamaa wenzako, kwani hata IFM hawajamaliza kusahihisha na kukabidhi matokeo, PSPF. Kama huna taarifa sahihi ni bora ukae kimya
Unafikiria sawa sawa kweli wewe? Ishu hapa ni kusahihishwa na kukabishi matokeo au ni kujaza nafasi zilizotangazwa? Hivi mtu anapokuambia kuwa lile zoezi ni geresha tu huelewi? Au mpaka tukuambie ktk nchi hii swala siyo matokeo ila kutangazwa kuwa mshindi? Kalaghabao!
 
Acha kukatisha tamaa wenzako, kwani hata IFM hawajamaliza kusahihisha na kukabidhi matokeo, PSPF. Kama huna taarifa sahihi ni bora ukae kimya

Kuna watu sijui mumechelewa kuingia mjini?Unachoambiwa ni kweli ndo kinachoendelea ktk nch hii.mambo ya kujipa moyo katika vitu hvi ni sawa na kuamini kuwa mlima kilimanjaro ipo siku utaletwa dsm.Ndo nyie mnaowambia watoto wenu wasiende tuisheni mkidhan elimu ya sasa kama ya zaman.
 
mambo ndivyo yalivyo...! lakini mambo yote hayo hayashindi kudra za Mwenyezi Mungu...Mungu akiamua kubadili mambo hivyo vimemo havitafanya kazi...! ipo siku...
 
Hilo liko wazi kabisa!

Mimi najua mmoja kabisa ambae nafasi kashaikamata anasubiri siku tu ya kuanza kazi!

Hizo ni protokali tu ambazo lazma zifatwe!

Ila poleni

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Acha kukatisha tamaa wenzako, kwani hata IFM hawajamaliza kusahihisha na kukabidhi matokeo, PSPF. Kama huna taarifa sahihi ni bora ukae kimya
Yaani unajipa moyo kua watasahihisha karatasi 5,000 kwa umakini na usahihi?
Kwa muda upi?
 
Watasahihisha kwa computa ndo teknologia ya ck hz hv @end of this wk IFM watakabidhi matokeo PSPF
 
hii habari ni kweli kabisa.pspf,ppf,nssf,lapf ni ngumu bila memo coz yametukuta

Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza....inashangaza sana kuona wasomi wanaishi katika hearsays badala ya kuwa watu wa kutafuta ukweli "full truth" kama maana ya academician....
Hivi mtu mwenye mawazo haya asipochaguliwa nae analaumu....the problem is your low truth seeking capacity!
NB: Mdogo wangu amepata kazi this year LAPF bila kimemo (coz mtu anaemtegemea kwa network ni mimi tu) na anakula salary ya kutosha HQ Dodoma.
 
Benaire....naomba msaada hapo kwenye LAPF
 
una bikira ya mawazo na bila shaka una guilt conscious wakati mwingine sio lazima kuandika kama huna cha kuandika.Ukimywa ni njia bora ya werevu
 
Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza....inashangaza sana kuona wasomi wanaishi katika hearsays badala ya kuwa watu wa kutafuta ukweli "full truth" kama maana ya academician....
Hivi mtu mwenye mawazo haya asipochaguliwa nae analaumu....the problem is your low truth seeking capacity!
NB: Mdogo wangu amepata kazi this year LAPF bila kimemo (coz mtu anaemtegemea kwa network ni mimi tu) na anakula salary ya kutosha HQ Dodoma.

mkuu me sipingi unachosema but ni vizuri ukaheshimu mchango wangu pia coz mimi haya yamenikuta na nayaona kila siku sijasimuliwa.
 
naamini sana katika vimemo.. ila guyz wapo watu wanaoingia katika hayo mashirika kwa juhudi zao wenyew (wana qualify).. kuna several people nawajua katika hayo mashirika hawajasaidiwa na mtu yeyote na wapo hapo wanafanya kazi.. so lets have hope, kama ipo ipo tuu.. tusikatishane tamaa kiac hicho wandugu
 
Tatizo la vijana wa kitanzania tuna ndoto ya kufanya kazi kwa kuangalia majina ya taasisi mfano Bunge, LAPF, NSSF, Bandari, TRA, sigara, Bia, na mengine mengi wakati yamejaa udini, undugu, ukanda, siasa n.k wakati kuna taasisi ambazo ni nzuri na bora zipo maporini na zinahitaji wasomi zinabaki kushikiliwa na watu wasio na vigezo kwa sababu yetu wenyewe
 
Back
Top Bottom