Wanabodi,
Habari nilizozipata hivi punde ambazo bado sijazithibitisha zinasema ile "Aptitude Test" iliyofanyika Jumamosi iliyopita kwa ajili ya nafasi mbalimbali za kazi zilizotangazwa na PSPF ilikuwa ni geresha tu na kwamba nafasi hizo tayari zimeshajazwa na wahusika wenye vi-memo kutoka kwa "wakubwa" wa "inji" hii! Inasemekana ugumu wa "test" hiyo ulilenga kuwaaminisha watahiniwa kuwa hata wasipochaguliwa basi wakubaliane na hali hiyo kirahisi!