Kwa wale mlio andikiwa eligible na tcu,someni hapa mjue jinsi selection inavofanyika.

Huyo jamaa nimesha muelezea kuwa A-Level hakuna ubahatishaji wewe mtu anapiga paper 1 paper 2 na practical bado anabahatisha tu???

bahati ipo, sema % ndogo mno! Kuna vi2 piga ua kwako unakuta huvielewi 2, meaning kuna katopic flan yaan hata ukomae vp hakaendi so ukakapga chini! Mwenye bahati mbaya anakuta pepa zote topic hiyo ndo imejaa, mwenye bahat nzuri haikuti au inakuepo ila ni optional :D
 
Huyo jamaa nimesha muelezea kuwa A-Level hakuna ubahatishaji wewe mtu anapiga paper 1 paper 2 na practical bado anabahatisha tu???

hlf paper 1 na 2 zenyewe hakuna multiple choice wala matching items hlf eti tu anasema kuna kubahatisha, inaonekana live kwamba o'level huyu bana samiti alibahatisha
 
Mazee inamaana mwaka huu wa2 wemefaulu sanaa au? Coz mwaka jana PCM waliopata 3 ya point 15 pia walipata vyuo tena engineering! Jaman inawezekana ukakosa chuo kabisa pa1 na kuwa na eligible zote 8?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom