kwa wale makamanda!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwa wale makamanda!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Mjasiriamali1, Sep 14, 2011.

1. M

Mjasiriamali1 JF-Expert Member

#1
Sep 14, 2011
Joined: Jun 8, 2009
Messages: 1,318
Likes Received: 67
Trophy Points: 145
wale walioko kwenye hii field yan wanajesh au polisi au wenye information kuusu hili tafadhali saidia hapa.nina mwaka mmoja nimalizie shule ya master's in procurement & suppliers mgt.pale mzumbe! kutokana na uhaba wa kazi nimefikiria baada ya shule ni join kati ya polisi au jeshi (jkt)
1.Je ipi ina lipa zaidi kati ya polisi au jeshi?
2.Any minimum age? kati ya polisi au jeshi? kwa sisi tuliosotea shuleni?
3.Program ya polisi or Jeshi ni mda gani mpaka uhitimu?
4.Ipi ni raisi kuwa promoted? i mean vyeo!
5.Kwa mtu mwenye master's anaweza anzia vyeo gani kati polisi au jeshi?
6.Je vyeo vya polisi au jeshi vinachukua mda gani mpaka uwe promoted?
shukrani kwa wote wenye positive advise! tafadhali ka hujisikii kuchangia tusiaribiane thread
AGAIN THANKS IN ADVANCE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

2. Perry

Perry JF-Expert Member

#2
Sep 14, 2011
Joined: Feb 24, 2011
Messages: 10,028
Likes Received: 853
Trophy Points: 280
Twende ze2 jeshini mkuu.police lawama nyingi sana.

3. M

Mjasiriamali1 JF-Expert Member

#3
Sep 14, 2011
Joined: Jun 8, 2009
Messages: 1,318
Likes Received: 67
Trophy Points: 145
thanks! any idea on jkt how it oparates in general?

4. Soso J

Soso J JF-Expert Member

#4
Sep 14, 2011
Joined: Aug 17, 2011
Messages: 1,677
Likes Received: 668
Trophy Points: 280
....kaka amini mamneno yangu..majeshini majungu saaana,kwa elimu yako hiyo kwanza utawatisha saaaana,jealousy ndio usipime...lkn as long as umejisacrifice kukomaaa,nenda JWTZ maana Polisi hamna kitu utachelewa saaana kupanda vyeo,JWTZ ni fasta saaana jamaa wanazingatia saana elimu

5. L

Long'ututi Member

#5
Sep 14, 2011
Joined: Dec 5, 2010
Messages: 42
Likes Received: 0
Trophy Points: 13
Mwana pole,kiukweli polisi wanachelewa kupata cheo,si kama zamani mtu akimaliza chuo tu anakwenda nyota,siku hizi utalipwa sawa na mwenye nyota ila mpaka uwe na mwenendo mzuri ndio akasomee nyota,kwenye jwtz elimu inathaminika hivyo jaribu huko.

6. m

mbasamwoga Member

#6
Sep 14, 2011
Joined: Jul 6, 2011
Messages: 71
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Nenda jwtz mdogo wangu, usije ukapigwa teke la tumbo ukapasuka nyongo bure kisa kuhofia vyeo vyao. Jw mambo yanaeleweka sana. Hongera kwa kupiga shule ya uhakika

7. hengo

hengo JF-Expert Member

#7
Sep 14, 2011
Joined: Jun 6, 2011
Messages: 403
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
Kama unashida na vyeo nenda JWTZ, kama unatafuta maisha mazuri nenda Polisi elimu yako na kozi yako itakulipa.

8. NYENJENKURU

NYENJENKURU JF-Expert Member

#8
Sep 14, 2011
Joined: Feb 11, 2011
Messages: 1,008
Likes Received: 10
Trophy Points: 135
jwtz na jkt wanafanana kila ktu katika mishahara.Wwe nenda JWTZ kwa hapo utaanzia na Kapteni after one year or two unaweza kuwa Meja bbada ya miaka kama kumi hivi unaweza kuwa Kanali.Una ukistafu kwa JWTZ unaweza kuwa DC au RC si unawasiki wengi,kama Kalembo,Machibya,rc shinyanga,DC Ngara nk

9. Ndibalema

Ndibalema JF-Expert Member

#9
Sep 14, 2011
Joined: Apr 26, 2008
Messages: 10,916
Likes Received: 131
Trophy Points: 160
hizi info ni za uongo na za kupotosha.
Hata uwe profesa jeshini huwezi kuanzia na nyota tatu(captain).
Pia kuwa DC au RC si lazima uwe umestaafu jeshi na pia sio kila ofisa mstaafu wa jeshi ni DC au RC.

10. M

Mjasiriamali1 JF-Expert Member

#10
Sep 14, 2011
Joined: Jun 8, 2009
Messages: 1,318
Likes Received: 67
Trophy Points: 145
wadau nashukuru sana kwa ushauri wenu.kweli hii inaitwa jamii intelligence.
Nitafanyia kazi wakuu.

11. Moshe Dayan

Moshe Dayan JF-Expert Member

#11
Sep 14, 2011
Joined: Feb 10, 2008
Messages: 811
Likes Received: 74
Trophy Points: 45
ww ndibalema usiongee ki2 hujui..., masters unaanzia capt.., pale unapo-commission, rais anatoa nyota moja..., lakn siku hyhy utapanda hadi 3... Na commission ni baada ya kufaulu darasani na porini...,

Kama hujui mambo si vzr kupotosha.., na ww mtoa mada.., umeona jeshi ni kimbilio la wakosa kazi au?? Rekebisha hyo sentensi bana.., huku kuna best doctors, engineers, pilots, etc..., si vzr ukawa na notion ya kulifkiria kwa muono wako huo..., na mwenzio anayesema major baada ya mwaka wa kua capt haipo hyo...,

12. Perry

Perry JF-Expert Member

#12
Sep 14, 2011
Joined: Feb 24, 2011
Messages: 10,028
Likes Received: 853
Trophy Points: 280

2pe mchongo bac afande.

13. Furaha Fedson

Furaha Fedson Member

#13
Sep 14, 2011
Joined: Mar 27, 2011
Messages: 44
Likes Received: 0
Trophy Points: 13
mtalamu mi sijakupata vema! hivi unataka kazi au cheo!? coz naona watu hoja zao ni cheo! cheo! kwa taarifa tu ni kwamba kazi yeyote ile ina utaratibu wake! isitoshe Francis Imbuga alishasema....Dunia ya leo unapotaka kitu lazima uwe na " Tall relatives" unalijua hili? ushauri tu.. hebu angalia taaluma yako inadai nn? cha zaidi pambana mdau!

14. Moshe Dayan

Moshe Dayan JF-Expert Member

#14
Sep 14, 2011
Joined: Feb 10, 2008
Messages: 811
Likes Received: 74
Trophy Points: 45
nnavyoelewa senetor ni form six c ndio? kwa kawaida kuna usaili hua unafanyika kunduchi kwa ajili ya kwenda cadet moja kwa moja kila mwaka kwa ajili ya graduates.., unaweza kuingia kupitia jkt
Unakua serviceman kwa muda then unaomba ukafanye cadet..., form six unatoka na jiwe moja..., baada ya mwaka unakula la pili

15. K

Kazi Ndiyo Kipimo Cha Utu JF-Expert Member

#15
Sep 14, 2011
Joined: Mar 8, 2006
Messages: 1,221
Likes Received: 110
Trophy Points: 160
Kuna jamaa yangu ana PHD Amejiunga nao na amelamba umeja moja kwa moja. Mara tu baada ya mafunzo ya Ofisa cadet!

16. mankipe

mankipe Member

#16
Sep 15, 2011
Joined: Mar 7, 2011
Messages: 97
Likes Received: 0
Trophy Points: 13

kaka we ndo uko wrong. ukiwa undergraduate unapata nyota 2 na ukiwa na masters unapewa tatu.. mi nina wanangu wako uko wanamalizia kozi

17. M

Mtized one Member

#17
Sep 15, 2011
Joined: Jul 27, 2011
Messages: 47
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Uzoefu vp halizingatiwi ukiacha elimu?

18. L

Lutu2 Member

#18
Sep 15, 2011
Joined: Mar 11, 2010
Messages: 38
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Wachangiaji wote wamepatia maisha mazuri kimaslahi na vyeo yanapatikana JWTZ,Polisi kuna majungu,fitina na rushwa iliyotukuka

19. d

dennyjossy New Member

#19
Sep 15, 2011
Joined: Apr 29, 2011
Messages: 3
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

naomba kukuuliza,it seems unainfo nyingi kuhusiana na jwtz,ukiwa na degree mshahara unakuwa kiasi gani na kama kuna incentives zozote zinakuwaje?natanguliza shukrani

20. Perry

Perry JF-Expert Member

#20
Sep 15, 2011
Joined: Feb 24, 2011
Messages: 10,028
Likes Received: 853
Trophy Points: 280

laki 9,hamnaga kodi kule.

Loading...