Kwa wale Madikiteta mkae mkao wakuondoka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wale Madikiteta mkae mkao wakuondoka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KakaKiiza, Feb 1, 2011.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,272
  Trophy Points: 280
  Nidhahiri kwamba nguvu ya umma ndiyo njia pekee ya kuwang'oa madikiteta wa demokrasia kwani imeonekana hakuna uchaguzi unaokuwa wa huru,hivyo mageusi ya siasa za afrika nimaandamano bila hivyo kila siku madikiteta wataendelea kujisifu kwakusena nimeshinda kwa ushindi wakishindo wakati niwezi na wanasaidiwa na dola zote!Njia pekee ya kuwatoa ni Nguvu ya Umma.
   
 2. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,919
  Likes Received: 12,106
  Trophy Points: 280
  Contradictions.
   
 3. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  What contradicts you? shake well before ...
   
Loading...