Bwana ehhhhMimi bado hii theory haiingii akilini..
Punda alibaki mzima amaPunda sio kabisa.
Hahahahahaha mkuu hao punda Walibaki haiMmependeza kwenye avatar hapo
Hahahahahaha kazi kweli kweliMkuu hata sielewi... Maana hata gari ilivoachwa siamini kama imesababishwa na collision na punda
si ndie wanaita ASS..
Sasa hii ni nyama ya huyo punda?Nasikia kuliko kugonga punda ni heri ugonge mbuyu...... View attachment 1022065
Hahahahahaha mkuu hao punda Walibaki hai