Kwa wale jobless wenzangu tusaidiane ni mbinu Gani unayotumia kujipatia kipato cha kuendesha maisha

tundamani alisema ' ukiwa mkubwa na hauna pesa basi utadhalaulika sana' ma men tutafute pesa tuziepuke hizi fedheha.
 
Mitano Tena ..iko HV leo ktk kituo Cha mawasiliano pale ubungo nimekutana na kijna ambaye amezoma na kumaliza vxr koz ya Bsc IEM. Bachelor of industrial and engineering Management kamaliza mzumbe .kazi anayo fanya Ni kupasua kokoto ilimradi tu alipwe elf mbili au elf tatu kwa kazi hyo ya kupasua kokoto ..nilimuonea huruma ila ckuwa la kufanya nilimpa mbinu na kupamabana Zaid..hali Ni mbaya Sanaa vijana wanateseka mno HV juz niliibiwa battery ya gar scaniaa

Dah noma sana ,kuna jamaa alisoma Degree ya IT ,Ni utingo wa gari za mchanga au sometime anaendesha bodaboda anakula deiwaka.
 
Mchumba wangu aliniambia ' Kwanini unaishi kimaskini...?

Leo napo mshkaji wangu kaniambia ' We jamaa mbona unaishi kimaskini sana..?

Wote hawajui km mie n jobless..

Hizi kauli zinaumiza sana roho, unajikuta unajuta hadi kuzaliwa..

Jobles wote, Mungu atuandalie makazi mema huko mbinguni, maana dunia ni jehanam yetu
Tumia akili kiroho ufanikiwe kimaisha...
 
Back
Top Bottom