Kwa wale introverts, anti social, na shy people maisha yako ya chuo yalikuwaje? Vipi mtaani kukoje?

Mimi ni introvert na najivunia kuwa hivyo.

Being an introvert doesn't mean that you'll be antisocial or stressed.

Changamoto ambazo tunazipata sisi introvert ni kwenye mahusiano na watu.
Hatupendi kukaa na watu

-Hatupendi story za kipuuzi,kama udaku na kusema watu,tunataka story zenye facts.

-Hatuna marafiki.

-Kama tukitaka kwenda club tunaenda club tunaenda wenyewe na hatuchezi mziki tunasikiliza tu.

-Mtu akija kukutembelea unatamani aondoke,sio kwamba humpendi basi tu unakuwa hupo comfortable.

-Hupendi kupokea simu,simu ikiita unaiangalia , halafu unamtext muhusika

-Unapenda sana text kuliko calls

-Muda mwingi upo kichwani mwako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe tupo wengi.
 
gasgas, Hahahahaha dah mkuu mbona mule mule hata mimi pia nilisharudigi September conference kipindi hicho tunaita hivyo, ilikua pepa la cost nilitoka patupu maswali ya cost behavior duh swali lilikua ba vipengele vingi marks 40, nikaja kuli clear baadae
 
Kuna clip niliona mchungaji anawaasa muende hata kisimani nenda hata kwenye vicoba nyumbani barua ije mapema watu tule pilau

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nahisi barua yangu itachelewa..ila haitachelewa Sana maana Sina wasiwasi na Mungu wangu ninayemtumikia

Ngoja labda age isogee ntaanza kujichanganya..ila Ni zoezi lililonishinda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Personally nataka harusi ndogo yenye watu wachache wa muhimu tu.

Ideally sitaki kuchangisha michango, nigharamie kila kitu mwenyewe, nialike only people who mean something to me.

Sio rafiki wa former classmate wa shemeji yake mamamkwe na binamu yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu ukipata mwanamke atakaye kubali hii kitu naomba unitag na mimi nikatafute huko.
 
Mkuu ukipata mwanamke atakaye kubali hii kitu naomba unitag na mimi nikatafute huko.
Mimi Muislaam niliwaambia kabisa ndugu sihitaji sherehe ya aina yoyote mkewangu alifanyiwa sherehe kwao mimi nikaenda kumchukua tu mida ya jioni kimyakimya na nyumbani hatukufanya sherehe ya aina yoyote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie wote humu mnatania...Sijaona introvert humu
Mimi nimejifungia ndani Sijaona jua mwezi wa nne huu kuna jamaa wa sokoni ndo namtumaga groceries, vocha n.k hata yeye akija simfungulii mlango yani hata sura hanijui(namba yake nilipewa na mama) kuna kipindi jamaa aliugua nilikaa wiki nzima bila kula nusra nife
Daah nahisi ntaozea humu
we jamaa umenivunja mbavu m naamini unatania haupo siriasi

God doesn't require us to succeed,he only requires that you try
 
Asksr njoo uwaone wenzio hapa
Shikamooni wakubwa zangu humu ndani.

Mimi ni kijana wa miaka 19. Ninasumbuliwa na tatizo moja. Najiona kama vile nakua mwili tu lakini akili yangu bado ya kitoto.

Ni kwa kipindi kirefu sasa nimekuwa nikiishi peke yangu kuanzia nilipohitimu darasa la saba mpaka hivi sasa nipo kidato cha tano.

Nimesoma shule ya bweni ila nilipokuwa nikirudi likizo nilipendelea sana kukaa ndani (ndio akili yangu ilichonituma kwa wakati huo), hali iliyopelekea kupoteza marafiki zangu wengi wa shule ya msingi.

Bahati mbaya zaidi mitaa ninayoishi hakuna vijana wa rika langu. Hii imesababisha mara nyingi kuwa mpweke kitu ambacho nadhani kinaniathiri kisaikolojia.

Huwa nikipata pesa (kutoka kwa wazazi bado sijaanza kutengeneza pesa zangu mwenyewe ) huwa sivipi kipaumbele vitu kama mavazi yaani huwa natumia tu mpaka inaisha japo sina mavazi mengi (wazazi walishaacha kuninunulia nadhani kwa sababu ya umri wangu).

Yaani huwa hata nikiwaona madogo niliowaacha shule ya msingi naona wananizidi kimaisha.

Hata shuleni nako sikuwa mtu social sana hivyo sikupata marafiki wengi wapya. Huwa nawakumbuka sana wanafunzi wenzangu niliosoma nao shule ya msingi both boys and girls and actually nawapenda sana.

Huwa nawa search tu social media
bila wao kujua. Wachache nawapata naishia kuangalia tu picha zao lakini nashindwa kuwa approach kwani naona wamenizidi sana I mean wamekua.

Hapa nyumbani marafiki zangu wakubwa ni wadogo zangu tu yaani am very confused.

Nashindwa hata kujua wenzangu wanapigaga dili gani ili kujitengenezea pesa.

Yaani naathirika mpaka shuleni hasa hii A level nashindwa hata kwenda kudiscuss na mtu mambo yakinishinda.

I have lost a lot of people, friends, opportunities, time etc but I want to recover them.

Natamani sana kujenga upya maisha yangu, kuwa na marafiki wa kike na wa kiume wa rika langu nitakaoweza kushare nao mambo mbalimbali.

Naombeni mnisaidie wakubwa zangu nitaanza vipi? Nanyi vijana wenzangu wa miaka 19 au 20 huwa mnafanya nini likizo au mnakutanaga wapi? Nitawezaje kubadilika?

Im always confused and stressed about this mpaka huwa nahisi kurogwa au kuna mkono wa mtu kwenye maisha yangu.

May God will bless you for what you will contribute.
 
Sorry moja ya research niliyofanya ni kuhusu left handers baada yakusikia wakijisema wao (sio kusemwa na mtu).

Believe me kutokana na research left handers wengi ni wanafiki, wambea, wanatabia za kukunja, wanataka kuonekana wema kwa macho lakini deep ni mbwa mwitu, wanapenda kuchunguza maisha ya watu and so on.

Sorry! Inaweza isiakisi upande wako lakini kwa left handers wengi ndio hivyo!

Lefthanders hawapo hivyo mkuu.. fanya uchunguzi vizuri..

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sorry moja ya research niliyofanya ni kuhusu left handers baada yakusikia wakijisema wao (sio kusemwa na mtu).

Believe me kutokana na research left handers wengi ni wanafiki, wambea, wanatabia za kukunja, wanataka kuonekana wema kwa macho lakini deep ni mbwa mwitu, wanapenda kuchunguza maisha ya watu and so on.

Sorry! Inaweza isiakisi upande wako lakini kwa left handers wengi ndio hivyo!

IMG_2444.JPG

Itabidi uelewe concept yangu..

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mimi ni introvert na najivunia kuwa hivyo.

Being an introvert doesn't mean that you'll be antisocial or stressed.

Changamoto ambazo tunazipata sisi introvert ni kwenye mahusiano na watu.
Hatupendi kukaa na watu

-Hatupendi story za kipuuzi,kama udaku na kusema watu,tunataka story zenye facts.

-Hatuna marafiki.

-Kama tukitaka kwenda club tunaenda club tunaenda wenyewe na hatuchezi mziki tunasikiliza tu.

-Mtu akija kukutembelea unatamani aondoke,sio kwamba humpendi basi tu unakuwa hupo comfortable.

-Hupendi kupokea simu,simu ikiita unaiangalia , halafu unamtext muhusika

-Unapenda sana text kuliko calls

-Muda mwingi upo kichwani mwako
Yaaani kama wanisema vile mie hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom