Kwa wale introverts, anti social, na shy people maisha yako ya chuo yalikuwaje? Vipi mtaani kukoje?

Mimi ni introvert na najivunia kuwa hivyo.

Being an introvert doesn't mean that you'll be antisocial or stressed.

Changamoto ambazo tunazipata sisi introvert ni kwenye mahusiano na watu.
Hatupendi kukaa na watu

-Hatupendi story za kipuuzi,kama udaku na kusema watu,tunataka story zenye facts.

-Hatuna marafiki.

-Kama tukitaka kwenda club tunaenda club tunaenda wenyewe na hatuchezi mziki tunasikiliza tu.

-Mtu akija kukutembelea unatamani aondoke,sio kwamba humpendi basi tu unakuwa hupo comfortable.

-Hupendi kupokea simu,simu ikiita unaiangalia , halafu unamtext muhusika

-Unapenda sana text kuliko calls

-Muda mwingi upo kichwani mwako
Mkuu umepita mulemule exactly.
 
Mbali nakuwa introvert nina tatizo la kutokujiamini Hali ambayo siipendi,je nifanye nini kuondokana na Hali hii?
 
Hii hali kiukweli huwa inanipa sana shida, mimi huwa kuongea tu na simu ni mtihani mkubwa sana. Angalau familia yangu huwa inanielewa maana huwa nakuwa kimya sana: inaweza ikapita wiki sijawasiliana na mwanafamilia wangu mpaka pale atakaponitafuta, muda mwingine huwa naona aibu inabidi niwatafute ili wasinione wa ajabu.

Tukija kwa marafiki huwa ndiyo mtihani, marafiki wengi nilio nao ni wale niliosoma nao katika ngazi mbalimbali za kielimu. Kwa sasa nipo chuo kiukweli marafiki zangu huwa hawanielewi kutokana na tabia zangu, siyo mtu wa kuonekana maeneo ya starehe au vijiwe bila sababu za msingi.

Jana tu kulikuwa na birthday party ila sikuhudhuria maana nilijua nitaenda sehemu ambayo sitakuwa comfortable. Walinifuata washkaji tuende nikawapa uongo kuwa najiandaa na test ya kesho (ambayo ndiyo leo) nilikuwa nimeshajiandaa kwa kusoma ila gia ya test ikawa uongo uliowaaminisha sitakuwa na muda wakuhudhuria party.

Kwenye mahusiano ndiyo huwa kuna utata, nimeshaambiwa mimi ni mpole na wadada wengi sana niliokutana nao. Kuna siku niliwahi kuulizwa swali lililoniacha na maswali mengi, tulikuwa class kwenye kipindi sasa kipindi tunamsubiri lecturer aje apige pindi tukaendelea na story mbili tatu, sasa kulikuwa na demu na story tulizopiga zilikuwa za mahusiano, yule dada akaniuliza "Hivi Forgotten ukitaka demu huwa unatongozaje maana we ni mkimya sana?" Kiukweli sikupata jibu la kumjibu zaidi ya kutabasamu na marafiki kucheka.

Katika mahusiano angalau huwa nikiamua kumu-approach mwanamke sioni aibu kuzungumza ila hali hii huwa inanilazimisha kuona ni kawaida hata nisipokuwa na mahusiano. Nimeshakuwa na mahusiano mengi ila yasiyodumu kwa muda mrefu.

Sasa hivi nimefikia uamuzi wa kufanya Social Media Detox, ku-take a break kufanya mambo yangu zaidi, nimefuta mitandao yote kasoro WhatsApp na YouTube na hapa JF nitakuwepo (I feel comfortable here) WhatsApp nimeiacha ili kupata updates za chuo tu na nime-disable Contacts Permission ili nisipate Status Updates maana huko mimi huwa ni mtu wa ku-view tu na ku-post kwa nadra sana. Hata ku-chat tu huwa sina muda kabisa labda mtu aanzishe chat, nitamjibu na nikimtafuta mtu ni issue ya muhimu sana.

Sina mawasiliano na ndugu zangu wengi sana, updates nyingi huwa nazipata kupitia kwa dada yangu. Yeye ana mawasiliano nao wengi, mimi hatuna connection nao kabisa hata wale wa rika langu.

Watu wengi ni ngumu kuielewa hii hali, najilazimisha kwenda sawa na marafiki wasinione wa tofauti ila narudi kulekule na wengi hawanielewi. Huwa najihisi amani nikiwa na familia yangu ndiyo watu pekee wanaijua hali na tabia yangu na kuniona wa kawaida.
 
Mkuu me naishi geto na wanangu uzuri wanajua haiba yangu. Toka niko hapa nmepata mgeni mmoja tu nae kwa miadi ya muda mrefu ndio anajua hali yangu. Sipendi sauti hovyo za muziki .Hapa geto pana subwoofer asa natamani kama liungue hivi kubaki ukimya maana asbh tu mtu unatafakar watu wamewasha lirwdio lao. Nina mpango wa kukata nyaya ili wasingizie panya ahhh
.. Nilichoamua ni kufungua bustan nyuma ya hostel ili kuwa busy na kula upepo. Nikiboreka nkuja huku bustanin nasikiliza saut za ndege na kuangalia mimea yangu huku saut ya muziki laini toka simu angu.
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Hii hali kiukweli huwa inanipa sana shida, mimi huwa kuongea tu na simu ni mtihani mkubwa sana. Angalau familia yangu huwa inanielewa maana huwa nakuwa kimya sana: inaweza ikapita wiki sijawasiliana na mwanafamilia wangu mpaka pale atakaponitafuta, muda mwingine huwa naona aibu inabidi niwatafute ili wasinione wa ajabu.

Tukija kwa marafiki huwa ndiyo mtihani, marafiki wengi nilio nao ni wale niliosoma nao katika ngazi mbalimbali za kielimu. Kwa sasa nipo chuo kiukweli marafiki zangu huwa hawanielewi kutokana na tabia zangu, siyo mtu wa kuonekana maeneo ya starehe au vijiwe bila sababu za msingi.

Jana tu kulikuwa na birthday party ila sikuhudhuria maana nilijua nitaenda sehemu ambayo sitakuwa comfortable. Walinifuata washkaji tuende nikawapa uongo kuwa najiandaa na test ya kesho (ambayo ndiyo leo) nilikuwa nimeshajiandaa kwa kusoma ila gia ya test ikawa uongo uliowaaminisha sitakuwa na muda wakuhudhuria party.

Kwenye mahusiano ndiyo huwa kuna utata, nimeshaambiwa mimi ni mpole na wadada wengi sana niliokutana nao. Kuna siku niliwahi kuulizwa swali lililoniacha na maswali mengi, tulikuwa class kwenye kipindi sasa kipindi tunamsubiri lecturer aje apige pindi tukaendelea na story mbili tatu, sasa kulikuwa na demu na story tulizopiga zilikuwa za mahusiano, yule dada akaniuliza "Hivi Forgotten ukitaka demu huwa unatongozaje maana we ni mkimya sana?" Kiukweli sikupata jibu la kumjibu zaidi ya kutabasamu na marafiki kucheka.

Katika mahusiano angalau huwa nikiamua kumu-approach mwanamke sioni aibu kuzungumza ila hali hii huwa inanilazimisha kuona ni kawaida hata nisipokuwa na mahusiano. Nimeshakuwa na mahusiano mengi ila yasiyodumu kwa muda mrefu.

Sasa hivi nimefikia uamuzi wa kufanya Social Media Detox, ku-take a break kufanya mambo yangu zaidi, nimefuta mitandao yote kasoro WhatsApp na YouTube na hapa JF nitakuwepo (I feel comfortable here) WhatsApp nimeiacha ili kupata updates za chuo tu na nime-disable Contacts Permission ili nisipate Status Updates maana huko mimi huwa ni mtu wa ku-view tu na ku-post kwa nadra sana. Hata ku-chat tu huwa sina muda kabisa labda mtu aanzishe chat, nitamjibu na nikimtafuta mtu ni issue ya muhimu sana.

Sina mawasiliano na ndugu zangu wengi sana, updates nyingi huwa nazipata kupitia kwa dada yangu. Yeye ana mawasiliano nao wengi, mimi hatuna connection nao kabisa hata wale wa rika langu.

Watu wengi ni ngumu kuielewa hii hali, najilazimisha kwenda sawa na marafiki wasinione wa tofauti ila narudi kulekule na wengi hawanielewi. Huwa najihisi amani nikiwa na familia yangu ndiyo watu pekee wanaijua hali na tabia yangu na kuniona wa kawaida.
Mm demu huwa sitongozi nikinyoosha tu panga yeye mwenyewe anaongoza ghetto kuliwa utamu.

20-05-12-images.jpg
 
Je inawezekana introvert kubadilika kuwa extrovert na je mbinu zipi zitumike
Ni kujijengea ujasiri na kuondoa uoga unapokuwa na mtu/watu.

Uliza maswali, jitose kwenye uongozi au mambo yanayokutaka kuongea mbele za watu, tembelea watu na karibisha watu unapokaa, jihusishe na mikusanyiko mbalimbali kama ya michezo.

Mimi wakati nikiwa shule nilikuwa siwezi hata kunyoosha mkono kujibu swali ingawa nilikuwa najua sana(naongozea matokeo) ikabidi Walimu wawe wananisimamisha hata kama sijanyoosha ndio najibu. Pia nilipofika la 7 nikapewa umonitor wa darasa ikanisaidia pia kujijengea ujasiri.. nikawa monitor toka la7 hadi form 4 kwasababu waalimu walichagua watu wanaoongozea darasani kuwa viongozi! Kukawa pia na morning speaches, kanisani napo(SDA) nikapewa kuongoza Kikundi cha kujifunza biblia(lesson) sasa niko vizuri kwakweli!
 
Nna rafiki yangu mmoja yuko ivo, tulifahamiana tukiwa form one yuko kimya sanaa hana habari,, ila alikuwa mkali wa mathematic alikuwa hapendi masomo kama history na civics,, ila mm nlikuwa Muengeaji kuliko yeye japo na mm sio muongeaji sanaa ila ni mpole,, yeye jamaa angu alikuwa mtu wa kukunja ndita sanaa,

Urafiki wetu umedumu hadi leo, kumpigia simu umuanze na usipompigia mnaweza pitisha miezi miwili bila kusalimiana,,

Na siku akikupigia simu ujue kuna jambo la mhimu sanaaa,, kingine mchuizi hapendi madem kabisa,, nliwai mtongozea demu na akamla pasipo yeye kutia maneno,, na walipendana ila ishu ikaja. Kwa jamaa yangu ful jazba hatimaye wakaachana, nliwai suluhisha ila mwishowe nikanawa mikono,, ila nachompendea hata niwe na shida kiasi gani lazima anisaidie,,

Nikimwambia mzee nna shida na kilo moja nakurejeshea,, utaskia nikutumie kwa namba ipi? ,,

Ni Fighter hatari kwa kifupi nikiri amenizidi ktk matumizi ya pesa,, mie niko rafu kishenzi,, yeye yuko makini sanaaa,

Amekuwa msaada mkubwa sanaa kwangu, ila kiukweli hawa watu wakimya wanapiga kazi sanaa,,

Hata mie ni mkimya ila huyu mwamba amezidi ukimya

Wengine humu jamii forum hata kukomenti tuko wazito kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ndiye rafiki wa kweli. Mng'ang'anie, usije ukaota mapembe ukamzingua.
 
Back
Top Bottom