Kwa wale introverts, anti social, na shy people maisha yako ya chuo yalikuwaje? Vipi mtaani kukoje?

Nyie wote humu mnatania...Sijaona introvert humu
Mimi nimejifungia ndani Sijaona jua mwezi wa nne huu kuna jamaa wa sokoni ndo namtumaga groceries, vocha n.k hata yeye akija simfungulii mlango yani hata sura hanijui(namba yake nilipewa na mama) kuna kipindi jamaa aliugua nilikaa wiki nzima bila kula nusra nife
Daah nahisi ntaozea humu
 
labda unatawa.!

lakini ndivyo ilivyo kama unajimudu kiuchumi au ni kula kulala halafu ni introvert

nje ya hapo.. introvert suala LA kujituma au kufanya kazi halimsumbui...ama kuhudumia jamii yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh we legendary introvert
Nyie wote humu mnatania...Sijaona introvert humu
Mimi nimejifungia ndani Sijaona jua mwezi wa nne huu kuna jamaa wa sokoni ndo namtumaga groceries, vocha n.k hata yeye akija simfungulii mlango yani hata sura hanijui(namba yake nilipewa na mama) kuna kipindi jamaa aliugua nilikaa wiki nzima bila kula nusra nife
Daah nahisi ntaozea humu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi kanisani nikitoka hata story na watu Sina aaanhghh!
Nyumbani Kuna muda wananilazimisha nikae sebuleni nipige story...Ni Mimi na chumbani,Mimi na jikoni maana napenda Sana kula.

Mtaani sinaga rafiki...na siwezi kutoka kwenda kwa watu kuongea,sijawahi..labda mtu aje nyumbani.

Huwa natamani hata sokoni nisiende.
Haya maisha Yana Raha yake na tabu zake

Zoezi lililonishinda Ni kwenda kwa ndugu..yaani aisee nakuwaga mpweke,mdogo kama piriton.
Kama nikienda Basi nifike jioni,asbh niondoke.
Shamra shamra za sherehe ule msongamano wa Watu Mimi kwangu Ni shida.
Maisha yangu nayaelewa mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna clip niliona mchungaji anawaasa muende hata kisimani nenda hata kwenye vicoba nyumbani barua ije mapema watu tule pilau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie wote humu mnatania...Sijaona introvert humu
Mimi nimejifungia ndani Sijaona jua mwezi wa nne huu kuna jamaa wa sokoni ndo namtumaga groceries, vocha n.k hata yeye akija simfungulii mlango yani hata sura hanijui(namba yake nilipewa na mama) kuna kipindi jamaa aliugua nilikaa wiki nzima bila kula nusra nife
Daah nahisi ntaozea humu
Umenipasua mbavu man! Mi najifungiaga ila hayazidi masaa matatu natoka nje Kama Sina kazi ya kufanya naenda zangu shambani huko nakaa na mifugo yangu
 
Mkuu nikuulize swali kwan ww ni bonge?au unakitambi usually watu hasa wanaume wenye vitambi huwa hawajiamini hupelekea kuavoid ata kuchanganyika na watu wengine mfano wake mimi wakati nina mwili mnene nilikuwa nakosa confidence mbele ya watu wengine.
hii yako kali unamaanisha ata shule nilikuwa na kitambi nimecheka sana
 
Back
Top Bottom