Kwa wale introverts, anti social, na shy people maisha yako ya chuo yalikuwaje? Vipi mtaani kukoje?

Kwa kuwa wewe sio Introvert huwezi jua hisia zetu na kutuona wa ajabu. Mimi naweza shinda ndani hata siku tatu mfululizo ikinibidi nitoke nje basi sitamani kukutana na mtu ninae Juana nae na kutaka kuanzisha story.

Maisha yangu ya utu uzima kuanzia 45-50 years ago nataka nimalizie porini rafiki zangu wawe Wanyama, Ndege na Nature napenda sana hv vitu

Sent using Jamii Forums mobile app
hii idea ni nzuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una tatizo kubwa sana .Sasa kwa Kuwa umeshajitambua Mpaka kuandika hapa.Badirika mana unakosa mengi
asee hii ishu ya kuoverthink inatutesa sana mm kabla hata nkitaka kuapload profile picture whatsapp naweza fikiria kama nusu saa hv afu badae naghairi

yaan huwa najifikiria mm ni wa aina gani mpaka sijielew mana
huwa staki mtu ajue jna langu halisi, hii inanpa shda sana kwa sabab kila nkienda mahali mtu akiniuliza jna namtajia a.k.a tofauti
staki mtu ajue mahali napoish,
staki ajue kazi yangu,
staki mtu ajue kipato changu
staki mtu ajue ratba yangu ya sku yaan daaah
nkiwa sna mishe najifungia ndan naskiliza 88.9 au naingia zangu kuperuz kwny social media

kuna jamaa hapa mtaan ni muongeaji balaa yan nkimuona anakuja najifanya napokea smu afu nakimbilia ndani.

hapa nlipo naandka nkiwa garage. nmeleta gar yangu afu kuna fundi pemben ananiongelesha yaan mm namkubalia tu ndio ndio kila akisema ktu yaan sjiskii tu kuongea

japo mm sometime huwa nakuwa muongeaji mpaka najishangaa yaan ila sometime unaeza kuniongelesha nkakujibu kwa ishara tu.

naweza ingia jamii forum kule jukwaa la chit chat au jukwaa la hoja mchanganyiko nikasoma post za watu weeeee afu nisione cha kuchangia.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante na mimi nmeenda kujifanyia hyo test.
Sawa sawa, ni nzuri sana kwa kuwa inaenda ndani zaidi kwa kuwagawa introverts na extroverts katika makundi mengi yenye hulka bainishi zaidi, maana levels za introvertness na extrovertness tumetofautiana.
 
Mimi ni introvert na najivunia kuwa hivyo.

Being an introvert doesn't mean that you'll be antisocial or stressed.

Changamoto ambazo tunazipata sisi introvert ni kwenye mahusiano na watu.
Hatupendi kukaa na watu

-Hatupendi story za kipuuzi,kama udaku na kusema watu,tunataka story zenye facts.

-Hatuna marafiki.

-Kama tukitaka kwenda club tunaenda club tunaenda wenyewe na hatuchezi mziki tunasikiliza tu.

-Mtu akija kukutembelea unatamani aondoke,sio kwamba humpendi basi tu unakuwa hupo comfortable.

-Hupendi kupokea simu,simu ikiita unaiangalia , halafu unamtext muhusika

-Unapenda sana text kuliko calls

-Muda mwingi upo kichwani mwako
this is me
 
nilitaka kufunga ndoa ya kimya kimya yaani isiyozidi watu kumi tu, lakini watu wakanikomalia kuwepo na sherehe ndogo nikabisha bisha hatimaye nikakubali kwa shingo upande kwa kuwa wao sehemu kubwa ya sherehe waligharamia wao kutokana na ubishi wangu, lakini kila nikifikiria kusimama madhabahuni na ukumbini nilikuwa nakosa raha mpaka nikakonda.
Dah mkuu hadi ukakonda?
Ila hongera pia
 
Mixa ubinafsi mliokua nao,ficha personality yako ishi vyema,penda na kujali wengine haijalishi upo kundi gani unauwezo wakujifunza kila jema
 

Kuna type nyingi za introverts wala usitishike. On my side siwezi kupoteza vitu muhimu kisa nipo introverted. Najua ni struggle but if you consistently lose opportunities huwezi kuendekeza hii tabia. Wengine wana socialphobia na matatizo ya kisaikolojia na wao pia ndio kichaka cha kujipa hopes wakati therapy ndio suluhisho

Sent using Jamii Forums mobile app
Wew umebonga kitu ya maana sana
 
Back
Top Bottom