Kwa wale ambao waliwapa second chance wapenzi wao ambao waliwasaliti, kwanini ulimsamehe?

stritglow

JF-Expert Member
Apr 7, 2018
622
1,751
Kwenye mahusiano kuna changamoto nyingi sana, na moja ya changamoto hizo ni mpenzi wako kukusaliti a.k.a ku-cheat...

Kuna wengine wanaweza wasamehe au wasisamehe ila ndo watavunja mahusiano moja kwa moja, ila kuna wengine watasamehe na kumpa second chance huyo mpenzi wake.

Je kwa wale ambao walishawai kukumbana na kadhia hiyo na kuamua kusamehe na kumpa second chance mwenza wao, ni nini kiliwafanya uamue hivyo?

Uliweza kujifunza kumwamini tena? Na mahusiano yenu yalikuwaje baada ya hilo, au mahusiano yenu yakoje mpaka sasa?
 
Mapenzi huwa na kizunguzungu mno hasa unapomwacha mpenzi na kwenda kwa mwingine; then unapokimbilia unakuta bora ulipotoka.
 
Kuna mjinga mmoja hapa kanisaliti ila kasafiri nasubiri arudi nimtoe outing pale kariakoo halafu naita MWIZIIIIIIII MWIZIIIIIIII.... nasepa taratibu huku nikiona raia wanafanya yao.

Una uhakika ulimpa vyote alivyovitaka..???
 
Kwenye mahusiano kuna changamoto nyingi sana, na moja ya changamoto hizo ni mpenzi wako kukusaliti a.k.a ku-cheat...

Kuna wengine wanaweza wasamehe au wasisamehe ila ndo watavunja mahusiano moja kwa moja, ila kuna wengine watasamehe na kumpa second chance huyo mpenzi wake.

Je kwa wale ambao walishawai kukumbana na kadhia hiyo na kuamua kusamehe na kumpa second chance mwenza wao, ni nini kiliwafanya uamue hivyo?

Uliweza kujifunza kumwamini tena? Na mahusiano yenu yalikuwaje baada ya hilo, au mahusiano yenu yakoje mpaka sasa?
Samehe mara sabini nafikiri kumsamehe mpenzi wako inajenga mahusiano kwa maana mtu unakuwa unajifunza kwa makosa yako kwa iyo unakuwa makini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mjinga mmoja hapa kanisaliti ila kasafiri nasubiri arudi nimtoe outing pale kariakoo halafu naita MWIZIIIIIIII MWIZIIIIIIII.... nasepa taratibu huku nikiona raia wanafanya yao.

itabidi nimwambie hahaha, mwache tu kuliko kumletea hilo balaa
 
Kuna mjinga mmoja hapa kanisaliti ila kasafiri nasubiri arudi nimtoe outing pale kariakoo halafu naita MWIZIIIIIIII MWIZIIIIIIII.... nasepa taratibu huku nikiona raia wanafanya yao.
ujue raia wakijua kuwa umemsingizia....ndo ushapoteza uhai wako mazimaaaa....event kama hiyo nishawahi shuhudia....usithubutu kufanya mana inaihtaji tyming kubwa mnoo otherwise atatumia body language na watu watakuvaa hutaamini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom