Kwa wale ambao walishawai-cheat, kwanini uliamua kufanya hivyo?

stritglow

JF-Expert Member
Apr 7, 2018
622
1,751
Kila mtu anakuwa na sababu zake pale anapocheat, wengine za ukweli, wengine za uongo.

Kwahiyo kwa wale ambao walishawai-cheat ni sababu gani ilikupeleka kufanya hivyo, if we are being honest?
 
Mwanamme hawezi kuwa na demu mmoja hata siku moja na kama yupo basi huyo atakuwa na matatizo ya akili au kuwa katika kundi la wanaume wa Dar (wasio na nguvu za kiume/mashoga). Si porini kwa wanyama, baharini kwa samaki, au hapa ardhini kwetu...mwanamme anasambaza mbegu na mwanamke ndiye aleae. Kiufupi, ninacheat kwa sababu wanawake wenyewe wananiomba niwashughulikie na mimi nina huruma nao siwezi wakatalia.
 
Mwanaume asiye na mchepuko ni tahira huyo aisee
 
tapatalk_1534268894850.png

Yeye ndiye alianza kunitaka hivyo jiongeze hiyo chat ilimalizikiaje na jiongeze pia kama nilikataa au nilikubali.
 
Aliniambia ananipenda sana ila anaitaji nifanye kitu ili nimfanye aumie nikahisi anatania kumbe alikuwa anamaanisha.

Ikiwa wimbo,kulala akiamka anaamka nao...nikaona isiwe tabu.

Nika cheat ni nikamfanya akajuwa.

Akaliaa akalia...kisha akaniita kwa jina langu (..... nakupenda sana sipo radhi urudie ulichokifanya wewe ni wangu sitaki uende kwa mwingine,nikamwambia sitorudia) japo ndiyo ukawa mchezo wangu.

Nili cheat kwa faida yake.
 
Back
Top Bottom