maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,046
- 4,608
Swali kwa Wale ambao wako kwene strong relationship hasa kuanzia mwaka na kuendelea
Hivi unawezaje kuwasiliana na mpenzi wako kila siku? Na mnapo wasiliana huwa mnakua mnaongea nini hasa?
Nauliza hivi kwa sababu mi nimegombana na wanawake zaidi ya watano ambao walisha wai kua wapenzi wangu wanadai mimi sipo romantic kabisa
Na kiukweli mi sipo romantic kabisa sina tabia ya kuwatafuta wapenzi wangu mpaka nitapopatwa na genye na hii imepelekea adi kuvunjika kwa mahusiano yangu mengi
Inafika hatua adi nawaza hivi walioko kwene ndoa huwa wanaishije unawezaje kuwasiliana na mtu mmoja kila siku mnakua mnaongea nini hasa?
Tupeane uzoefu
Poleni na majukumu