Kwa wale ambao wako kwenye strong relationship

maji ya gundu

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
2,553
2,000
Swali kwa Wale ambao wako kwene strong relationship hasa kuanzia mwaka na kuendelea

Hivi unawezaje kuwasiliana na mpenzi wako kila siku? Na mnapo wasiliana huwa mnakua mnaongea nini hasa?

Nauliza hivi kwa sababu mi nimegombana na wanawake zaidi ya watano ambao walisha wai kua wapenzi wangu wanadai mimi sipo romantic kabisa

Na kiukweli mi sipo romantic kabisa sina tabia ya kuwatafuta wapenzi wangu mpaka nitapopatwa na genye na hii imepelekea adi kuvunjika kwa mahusiano yangu mengi

Inafika hatua adi nawaza hivi walioko kwene ndoa huwa wanaishije unawezaje kuwasiliana na mtu mmoja kila siku mnakua mnaongea nini hasa?

Tupeane uzoefu

Poleni na majukumu
 

Aiba

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
1,110
2,000
Mkuu hujapata umpendaye wala usiwe na haraka wakati unakuja mbele yko utakuwa unamtafuta kila saa
 

Lucky One

JF-Expert Member
Nov 27, 2013
671
500
Hii strong relationship ndo ipoje wakuu
Sifa zake zibainishwe ili tuijue vzuri
 

sheremaya

JF-Expert Member
Mar 22, 2015
2,857
2,000
Vipi kuhusu watu wengine unaweza kuongea nao kila siku wa kazini kwako?
Miaka ya nyuma watu uliokua unaishi nao nyumbani kwenu ulikua unaweza kuongea nao kila siku?
 

charldzosias

JF-Expert Member
Nov 10, 2013
1,988
2,000
strong relationship mwaka mmoja? yaan miez 12?

skia.. kwa upande wangu Demu wangu/mpenzi wangu huwa namjengea mazoea ya kuwasiliana (kibabe) nikimaanisha naweza nikachat nae ukazan nachat na mwanaume mwenzangu.. hiyo haitakuboa..

just jiachie..
 

maji ya gundu

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
2,553
2,000
yaani hiyo kibabe mnakua mnazungumzia nini hasa
strong relationship mwaka mmoja? yaan miez 12?

skia.. kwa upande wangu Demu wangu/mpenzi wangu huwa namjengea mazoea ya kuwasiliana (kibabe) nikimaanisha naweza nikachat nae ukazan nachat na mwanaume mwenzangu.. hiyo haitakuboa..

just jiachie..
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom