Kwa wale ambao wakiingia kwenye swimming pool wanatembea

Hivi si ndo wewe yule ulisema kuna Youtube video, au?! Nilitaka kukuambia achana na hiyo mambo, huwezi kujifunza kuogelea kwa Youtube! Unaweza kutumia Youtube kama tayari unajua kuogelea lakini unataka uwe unaogelea as a professional!
Unanchanganyia mafaili
 
Mzee tafuta pumzi kwanza kabla haujaanza kutaka kujua kuogelea.
 
Fundi wa kuogelea nipo hapa, nitakufundisha swimming styles zote.
1.Free style
2.front crow style.
3.backward
4.frog style.
5.and the hardest one BUTTERFLY. Kwenye hii staili utapaa juu ya maji kama dolfn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliogelea kutoka nungwi hadi bagamoyo
meli ilipozama
 
Hili ni jukwaa la mapenzi sasa uliposema kutembea nikadhani ile 'kutembea' ya mtaani....... 'anatembea na mke wa Mtu'

Kwa hiyo kwa sentensi yako nikafikiri unawananga wale wanaoingia kwenye swimming pool na 'kubanjuana' mumo mumo.
😁😁😁😁
 
Mi hayo maeneo siwezi thubutu kusogelea, kwani itasimama.
Huwa nashangaa wanaume wanaoongelea na wanawake eneo moja.
 
Mimi nipo tayari kumfundisha kuogelea iwe baharini au swimming sehemu hizo zote nazijua. Ila kwa ushauri ukijifunzia baharini ni njema zaidi maana ukitoka hapo swimming hautapata tabu. So kwa aliye tayari anichek pm. Nitamwelekeza majuma wawili tu ataleta mrejesho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namm pia ni mhanga
Napenda kuswim alafu siwez
Nikienda swimming pool naishia kuchezea maji tu dadeq


Hahaa mie niliwab fundishwa na mzungu akanipa tecknks...tena nilikua mjamzito..nikawawez..ss hv hata ya ugoko nazama.km furushi😂...mazoez ni muhim jamn...dah
 
Nshajifunza bila mafanikio sijui nakosea wapi, nikilala kwenye maji sielei yani nazama kama jiwe, nikiinuka masikio yameingiwa maji naona kerooo

Hahahaa nimecheka...kwanza wanasema ukiingia mle ulirelax...legeza kbs mwli..jion.ww km.kikaratasi tu...legeza had miguu...usijikaze...hahahaa..
 
Back
Top Bottom