Kwa wale ambao umri umeenda na bado mpo nyumbani 2021 mna mipango Gani ya kimaisha?

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,182
3,547
Inawezekana wewe ni miongoni mwa vijana ambao umri umeenda mpka sasa haujaanza kujitegemea bado upo nyumbani unaishi kwa kuwategemea wazazi?

Hebu tuambie una mipango Gani 2021 mpka kufika december uwe umeshaikamilisha?
 
.
Screenshot_20201231-082144_Google.jpg
 
Yaani uwe na mtazamo mmoja

Never stop believing!
Anajibu Kwa wakati sahihi

Usikate tamaa (uwe jasiri)
Jaribu sna kama Jack wa Alibaba

Good is good all the time!!
Inawezekana wewe ni miongoni mwa vijana ambao umri umeenda mpka sasa haujaanza kujitegemea bado upo nyumbani unaishi kwa kuwategemea wazazi ?

Hebu tuambie una mipango Gani 2021 mpka kufika december uwe umeshaikamilisha ????
 
Wewe maisha na mipango yetu inakuhusu nini?!!
 
Inawezekana wewe ni miongoni mwa vijana ambao umri umeenda mpka sasa haujaanza kujitegemea bado upo nyumbani unaishi kwa kuwategemea wazazi ?

Hebu tuambie una mipango Gani 2021 mpka kufika december uwe umeshaikamilisha ????
Hivi umri "ulioenda" unaanzia miaka mingapi?
 
Ninampango wa kuwaua wazazi nibaki na hizi nyumba wao wataenda kuishi kwenye nyumba ya milele.MImi nimtoto wa kiume pekee hapa home.
 
AMA KWELI MAMBO NI MAGUMU MNOOO.ASILIMIA KUBWA YA KIJANA WA KITANZANIA HAIJUI KESHO YAKE
 
Inawezekana wewe ni miongoni mwa vijana ambao umri umeenda mpka sasa haujaanza kujitegemea bado upo nyumbani unaishi kwa kuwategemea wazazi ?

Hebu tuambie una mipango Gani 2021 mpka kufika december uwe umeshaikamilisha ????
tunasubiri urithi
 
Kitaa tunawaitaga anko.unakuta mtu keshakula more than 45 yrs yupo kwao au kwa ndugu na hana ramani.
Kajisajili kikosi cha mizinga,anakwambia"anko nikopeshe tena elfu kumi, jumlishaa kabisa na zile za nyuma ntakulipa zote kwamkupuo"
 
Back
Top Bottom