Kwa wale ambao majina yao hayakupelekwa vyuoni, na pole kwa Agribusness SUA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wale ambao majina yao hayakupelekwa vyuoni, na pole kwa Agribusness SUA

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Ze Blessed, Sep 12, 2012.

 1. Z

  Ze Blessed Senior Member

  #1
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 124
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanajamvi, mimi nilikua ni miongoni mwa wale wanafunzi ambao majina yetu hayakupelekwa vyuoni, lakini leo nilibahatika kwenda sua na kuulizia inakuaje kuhusiana na hili? Ndipo nilipopewa karatasi yenye majina hayo na kwa bahati nzuri nimeliona la kwangu na form ya kujiunga na chuo nikapewa. Inawezekana na vyuo vingine ikawa hivyo jaribuni kufuatilia. Agribusness wanadai majina wameyarudisha tena tcu ila sikutaka kuuliza kwanini kwasababu facult hainihusu ila kuna jamaa yangu ndo ameelekea huko, naamini atakuja na taarifa kuhusu hilo na nitawajurisha.
   
 2. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,873
  Likes Received: 4,715
  Trophy Points: 280
  Ahsante Jembe
   
 3. Z

  Ze Blessed Senior Member

  #3
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 124
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Poa mkuu usijali.
   
 4. Ja60

  Ja60 JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 5, 2012
  Messages: 254
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 60
  Xaxa wamexema wana upload lin hayo majna coz cc wengne 2po mbal xo inaeza kua inshu kufka huko.
   
 5. Z

  Ze Blessed Senior Member

  #5
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 124
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tcu kama tcu sijajua wata-apload lini majina ila nahisi kwenye baadhi ya vyuo watayapeleka, na kama umepangiwa sua nahisi kuanzia kesho yatakua tayari sababu niliacha wanajiandaa kuyaweka mtandaoni, ucjali ndugu yangu mambo yatakua safi tu.
   
 6. M

  MAKAH JF-Expert Member

  #6
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  website yenyewe ya SUA iko intensive care siku nyingi!!!!!
   
 7. T

  Thebony Member

  #7
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vp mbona mi naanza changanyikiwa?
   
 8. T

  Thebony Member

  #8
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo jamaa hajarud tu.
   
 9. Z

  Ze Blessed Senior Member

  #9
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 124
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwanini ndugu?
   
 10. Z

  Ze Blessed Senior Member

  #10
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 124
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa hilo sijajua bado.
   
 11. B

  Best Mzava Senior Member

  #11
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu vp kuhusu majina ya waliochaguliwa second round nayo wataupdate lini.
   
 12. Z

  Ze Blessed Senior Member

  #12
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 124
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaka hata hayo pia nimeyakuta sua sijajua vyuo vingine, jaribu kufuatilia.
   
 13. B

  Best Mzava Senior Member

  #13
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thx much mkuu,sababu nilikuwa sina muelekeo coz niliomba second round hapo SUA na nikawa addmitted bt ckuona updates zozote kwenye website ya sua nikahic tcu wameniridhisha 2
   
 14. Z

  Ze Blessed Senior Member

  #14
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 124
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ucjal ndugu kama upo karibu nenda pale admstration ghorofa number 2 room na. 212 watakupa maelezo na kama uko mbali unaweza mtuma mtu wa karibu haisumbui. Mungu akusaidie sana ndugu.
   
 15. B

  Best Mzava Senior Member

  #15
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nitajitaidi sana kesho nimtume mtu akawasikilizie coz me niko mbali,Mungu akubariki sana mkuu
   
 16. Z

  Ze Blessed Senior Member

  #16
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 124
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Amina mkuu.
   
 17. T

  Thebony Member

  #17
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi nipo admted sua agrbsnes ila ndo jina halipo chuoni kwa mwenye updt anisaidie
   
 18. Z

  Ze Blessed Senior Member

  #18
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 124
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaka agribusness inaonekana waliochaguliwa wamezid admission capacity kwa hyo wameyarudisha tcu majina yote ili kuangalia ustarabu mwngne, na cna uhakika kama ni majina yote yamerudishwa ila inasemekana yamerudi. Cha msingi fuatilia tcu kwenyewe uone itakuaje.
   
 19. N

  Nyusikid Member

  #19
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 25, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  2subiri 2one
   
 20. S

  Sir.Chemi Member

  #20
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa hyo mkuu ni agrobsnes tu au na wengine? Nitoe waswas maana nko mbali!
   
Loading...