Kwa wale ambao imewatokea.

Tarime one

JF-Expert Member
Nov 12, 2013
2,246
1,730
Jamani naomba tushare experience kwa wale ambao imeishawatokea janga la kushika au kushikwa ugoni vp mlijisikiaje muda ule?tupe maoni yako ingawa ni machungu ya moyo.
 
Tufumbe macho tuombe " Eee Mungu, muumba wa mbingu na nchi ninakuomba uniepushe na janga la kufumaniwa au kufumania AMEN"
 
Back
Top Bottom