Kwa wale ambao hawajauona,mzigo ndio huu hapa

Prince jr 47

JF-Expert Member
Aug 19, 2016
295
246
IMG_20180522_095616_782.jpg
 
Aisee noma sana yote hayo RC kajitolewa kwa shule za secondary kweli RC piga kazi
 
Baba ake kipindi kile si alifungua yale magari waliodai yametoka nje huku ndani yakiwa na magodoro Dodoma. Afungue na hayo tuone kuna nini
 
Baba ake kipindi kile si alifungua yale magari waliodai yametoka nje huku ndani yakiwa na magodoro Dodoma. Afungue na hayo tuone kuna nini
Gari lolotw likiwekwa kwenye kontena lazima liwekewe magodoro mzee,vinginevyo utakuta hilo gari vioo vimevunjika
 
Mtashangaa na macho yenu. Mzigo utayeyuka na mtaacha kupiga kelele
 
Makonda alishasema yeye ni simba wa vita, hajawahi kushindwa vita anayoianzisha, hivyo ni uhakika makontena yatatoka na wakicheza hao TRA na WIZARA watatoka nayo hayo.
 
Back
Top Bottom