Kwa wale ambao bado hajaona majina yao heslb pdf hizi hapa unaweza download ili uwe na copy yako

gkiwango

Member
Oct 25, 2011
85
71
Kutokana na bandwidth ya HESLB kufikia limit na traffic kuwa kubwa nmetumia google drive kuwarahisishia members wa jf kupata majina yawaliopata mkopo kutoka Bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu

Note: Ukitaka kuona percent yako login ktk account yako at HESLB OLAS utaona percent yako.

Ili kurahisisha mambo zaidi nimeona niwa wekee na list kutoka TCU

The Tanzania Commission for Universities (TCU) in Collaboration with the National Council for Technical Education (NACTE) is announcing the names of Applicants who were seleted into various programs for the 2012/2013 Admissions. However, the list of some applicants who were selected into various programs but obtained no loan, applicants who were returned by some institutions, and selected applicants who asked for transfer, will be announced before 21 September 2012

Source
HESLB
TCU
 
Kamanda big up Mungu akuzidishie akili truely you are a great thinker keep it up excellent 99.99% score marks.
 
Kutokana na bandwidth ya HESLB kufikia limit na traffic kuwa kubwa nmetumia google drive kuwarahisishia members wa jf kupata majina yawaliopata mkopo kutoka Bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu

Note: Ukitaka kuona percent yako login ktk account yako at HESLB OLAS utaona percent yako.

Ili kurahisisha mambo zaidi nimeona niwa wekee na list kutoka TCU

The Tanzania Commission for Universities (TCU) in Collaboration with the National Council for Technical Education (NACTE) is announcing the names of Applicants who were seleted into various programs for the 2012/2013 Admissions. However, the list of some applicants who were selected into various programs but obtained no loan, applicants who were returned by some institutions, and selected applicants who asked for transfer, will be announced before 21 September 2012

Source
HESLB
TCU

Mkuu UBARIKIWE SANA!!!!!!!
 
Nimeogeza list inayoonyesha Wote waliochaguliwa kutoka TCU lakini inaonekana ina makosa mengi hasa ya chuo,
 
Back
Top Bottom