Kwa wakulima wa vitunguu

KAJOBO

JF-Expert Member
Sep 2, 2014
386
301
Habari Wanajf?
Kwa yeyote mwenye knowledge ya kilimo cha vitunguu maji tushauriane juu ya namna bora ya kulima zao hili
Ningependa kufahamu mambo yafuatayo:-
Aina ya udongo
Aina ya mbegu
Mbolea inayofaa kutumiwa
Dawa za kuulia wadudu
NB: Mimi Niko Tabora
NAWASILISHA
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom