Kwa wakulima wa mazao ya mbogamboga (Bustani)

bachelor sugu

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
2,689
3,641
Amani ya mola iwe juu yenu wote,

Nimeamua kujikita katika uandaaji na utunzaji wa miche ya mazao mbalimbali ya mboga mboga maarufu kama kilimo cha bustani.Mfano wa mazao hayo ni kama vile;

-Vitunguu
-Nyanya chungu
-Nyanya maji
-Pilipili hoho
-Pilipili washa(Nyekundu)
-Pilipili washa(Za njano)
-Cabbage(kabichi)
-Chainizi(Chinese cabbage)
-Biringanya
N.k

Majority ya mbegu ninazodeal nazo ni local kwa baadhi ya mazao kama Pilpili,Nyanya chungu,Vitunguu ila kwa baadhi ya mazao ni Hybrid lakini pia itategemea na matakwa ya Mteja.

Bei ni kwa kitalu kimoja na inatofautiana kulingana na zao husika

Lengo ni kuwapunguzia wakulima wa kilimo hiki usumbufu wa uhudumiaji na usimamizi wa miche ya kupanda maana nayo ina changamoto zake nyingi ambazo muda mwingine humchelewesha mkulima hasa pale mbegu zinapogoma kuota ikumbukwe Shamba la bustani ni Miche bora.
KIKUBWA NINACHOZINGATIA NI KUANDAA MBEGU BORA NA MICHE YENYE AFYA ILI KUMPA MKULIMA MWANZO MZURI WA KILIMO CHAKE

Kwa sasa nina vitalu vya Vitunguu vinavyotosha kupanda ekari 1 na nusu mbegu aina ya Red Bombay,Miche ina afya nzuri sana na bado wiki2 kuhamishiwa shambani.

Vitalu(Jaruba)zipo 25@=30,000.

Picha zake nitaupload keaho panapo majaaliwa.
"MWIKO WANGU NI UONGO NA ULAGHAI UTAUZIWA KILE UNACHOKIHITAJI.

Mawasiliano.Ni PM kisha nitakupa mawasiliano zaidi tunayoweza kufanya biashara maana lazima ufike site uione miche ukiridhika basi tufanye biashara na uondoke na miche yako kulingana na utakavyoona ww.

Mahali:KILOSA

NB:Kama huna shamba na unapenda kulima nachoweza ni kukusaidia kukutafutia shamba la kukodi na ushauri wa hapa na pale ila masuala ya usimamizi tafuta mtu wako wa karibu akusaidie.

Karibuni.
 
ukiweka bei ingekuwa bomba tu
Mkuu bei ya kitalu kimoja nilikuwa nauza 30,000 mbona nimeandika hapo juu kwenye thread
Ika bahati mbaya au nzuri tayari nimeshauza.

Vilikuwa hivyo hapo
IMG_20190620_180559_0.jpeg
IMG_20190620_180339_4.jpeg
IMG_20190620_175854_7.jpeg
IMG_20190620_180005_7.jpeg
IMG_20190620_180214_8.jpeg
 
Attachments

  • IMG_20190620_180032_0.jpeg
    IMG_20190620_180032_0.jpeg
    119.5 KB · Views: 79
Mimi naomba maelekezo ya kilimo cha kisasa
cha nyanya chungu.
Amani ya mola iwe juu yenu wote,

Nimeamua kujikita katika uandaaji na utunzaji wa miche ya mazao mbalimbali ya mboga mboga maarufu kama kilimo cha bustani.Mfano wa mazao hayo ni kama vile;

-Vitunguu
-Nyanya chungu
-Nyanya maji
-Pilipili hoho
-Pilipili washa(Nyekundu)
-Pilipili washa(Za njano)
-Cabbage(kabichi)
-Chainizi(Chinese cabbage)
-Biringanya
N.k

Majority ya mbegu ninazodeal nazo ni local kwa baadhi ya mazao kama Pilpili,Nyanya chungu,Vitunguu ila kwa baadhi ya mazao ni Hybrid lakini pia itategemea na matakwa ya Mteja.

Bei ni kwa kitalu kimoja na inatofautiana kulingana na zao husika

Lengo ni kuwapunguzia wakulima wa kilimo hiki usumbufu wa uhudumiaji na usimamizi wa miche ya kupanda maana nayo ina changamoto zake nyingi ambazo muda mwingine humchelewesha mkulima hasa pale mbegu zinapogoma kuota ikumbukwe Shamba la bustani ni Miche bora.
KIKUBWA NINACHOZINGATIA NI KUANDAA MBEGU BORA NA MICHE YENYE AFYA ILI KUMPA MKULIMA MWANZO MZURI WA KILIMO CHAKE

Kwa sasa nina vitalu vya Vitunguu vinavyotosha kupanda ekari 1 na nusu mbegu aina ya Red Bombay,Miche ina afya nzuri sana na bado wiki2 kuhamishiwa shambani.

Vitalu(Jaruba)zipo 25@=30,000.

Picha zake nitaupload keaho panapo majaaliwa.
"MWIKO WANGU NI UONGO NA ULAGHAI UTAUZIWA KILE UNACHOKIHITAJI.

Mawasiliano.Ni PM kisha nitakupa mawasiliano zaidi tunayoweza kufanya biashara maana lazima ufike site uione miche ukiridhika basi tufanye biashara na uondoke na miche yako kulingana na utakavyoona ww.

Mahali:KILOSA

NB:Kama huna shamba na unapenda kulima nachoweza ni kukusaidia kukutafutia shamba la kukodi na ushauri wa hapa na pale ila masuala ya usimamizi tafuta mtu wako wa karibu akusaidie.

Karibuni.
 
Mimi naomba maelekezo ya kilimo cha kisasa
cha nyanya chungu.
Mkuu kilimo cha kisasa ni dhana pana km vile Mbegu bora,maandalizi bora ya shamba,utumiaji wa mbolea kwa wakati,udhibiti wa magonjwa na wadudu mbalimbali kwa wakati na matunzo bora ya shamba mfano huduma ya maji,palizi vyote vifanyike kwa wakati
Labda ungekuwa specific unahitaji kujuzwa nn ingekuwa bora zaidi.
 
Amani ya mola iwe juu yenu wote,

Nimeamua kujikita katika uandaaji na utunzaji wa miche ya mazao mbalimbali ya mboga mboga maarufu kama kilimo cha bustani.Mfano wa mazao hayo ni kama vile;

-Vitunguu
-Nyanya chungu
-Nyanya maji
-Pilipili hoho
-Pilipili washa(Nyekundu)
-Pilipili washa(Za njano)
-Cabbage(kabichi)
-Chainizi(Chinese cabbage)
-Biringanya
N.k

Majority ya mbegu ninazodeal nazo ni local kwa baadhi ya mazao kama Pilpili,Nyanya chungu,Vitunguu ila kwa baadhi ya mazao ni Hybrid lakini pia itategemea na matakwa ya Mteja.

Bei ni kwa kitalu kimoja na inatofautiana kulingana na zao husika

Lengo ni kuwapunguzia wakulima wa kilimo hiki usumbufu wa uhudumiaji na usimamizi wa miche ya kupanda maana nayo ina changamoto zake nyingi ambazo muda mwingine humchelewesha mkulima hasa pale mbegu zinapogoma kuota ikumbukwe Shamba la bustani ni Miche bora.
KIKUBWA NINACHOZINGATIA NI KUANDAA MBEGU BORA NA MICHE YENYE AFYA ILI KUMPA MKULIMA MWANZO MZURI WA KILIMO CHAKE

Kwa sasa nina vitalu vya Vitunguu vinavyotosha kupanda ekari 1 na nusu mbegu aina ya Red Bombay,Miche ina afya nzuri sana na bado wiki2 kuhamishiwa shambani.

Vitalu(Jaruba)zipo 25@=30,000.

Picha zake nitaupload keaho panapo majaaliwa.
"MWIKO WANGU NI UONGO NA ULAGHAI UTAUZIWA KILE UNACHOKIHITAJI.

Mawasiliano.Ni PM kisha nitakupa mawasiliano zaidi tunayoweza kufanya biashara maana lazima ufike site uione miche ukiridhika basi tufanye biashara na uondoke na miche yako kulingana na utakavyoona ww.

Mahali:KILOSA

NB:Kama huna shamba na unapenda kulima nachoweza ni kukusaidia kukutafutia shamba la kukodi na ushauri wa hapa na pale ila masuala ya usimamizi tafuta mtu wako wa karibu akusaidie.

Karibuni.
Kabichi, chainizi na pilipili hoho vinaweza limwa huko kilosa?
 
50k kwa hekar moja? Mazingira ya shamba yapoje kwa kipindi hiki cha kiangazi naweza kulima nyanya kwa kumwagilia
Mkuu pole sana yaani leo ndo naiona quote yako aisee,

Yes wanakodisha 50K kwa ekari1 mashamba ya bustani always tunazungumzis mashamba yaliyo karibu na mito yenye uwezo wa kulimwa kws kumwagilia so siku nyingine ukihitaji kulima hizo nyanya unakaribishwa pande zetu.
Nitakusaidia tu kukutafutia shamba uendeleze mapambano.
 
Mvua ikija hayo MASHAMBA yanabaki salama??
Mkuu kuna baadhi ya mashamba mvua hata iweje yanabaki salama kabisa ila kuna baadhi pia mto ukijaa lazima yaingie shamba so ni kuwa makini wakati wa kukodi la sivyo utaumia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom