bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,641
Amani ya mola iwe juu yenu wote,
Nimeamua kujikita katika uandaaji na utunzaji wa miche ya mazao mbalimbali ya mboga mboga maarufu kama kilimo cha bustani.Mfano wa mazao hayo ni kama vile;
-Vitunguu
-Nyanya chungu
-Nyanya maji
-Pilipili hoho
-Pilipili washa(Nyekundu)
-Pilipili washa(Za njano)
-Cabbage(kabichi)
-Chainizi(Chinese cabbage)
-Biringanya
N.k
Majority ya mbegu ninazodeal nazo ni local kwa baadhi ya mazao kama Pilpili,Nyanya chungu,Vitunguu ila kwa baadhi ya mazao ni Hybrid lakini pia itategemea na matakwa ya Mteja.
Bei ni kwa kitalu kimoja na inatofautiana kulingana na zao husika
Lengo ni kuwapunguzia wakulima wa kilimo hiki usumbufu wa uhudumiaji na usimamizi wa miche ya kupanda maana nayo ina changamoto zake nyingi ambazo muda mwingine humchelewesha mkulima hasa pale mbegu zinapogoma kuota ikumbukwe Shamba la bustani ni Miche bora.
KIKUBWA NINACHOZINGATIA NI KUANDAA MBEGU BORA NA MICHE YENYE AFYA ILI KUMPA MKULIMA MWANZO MZURI WA KILIMO CHAKE
Kwa sasa nina vitalu vya Vitunguu vinavyotosha kupanda ekari 1 na nusu mbegu aina ya Red Bombay,Miche ina afya nzuri sana na bado wiki2 kuhamishiwa shambani.
Vitalu(Jaruba)zipo 25@=30,000.
Picha zake nitaupload keaho panapo majaaliwa.
"MWIKO WANGU NI UONGO NA ULAGHAI UTAUZIWA KILE UNACHOKIHITAJI.
Mawasiliano.Ni PM kisha nitakupa mawasiliano zaidi tunayoweza kufanya biashara maana lazima ufike site uione miche ukiridhika basi tufanye biashara na uondoke na miche yako kulingana na utakavyoona ww.
Mahali:KILOSA
NB:Kama huna shamba na unapenda kulima nachoweza ni kukusaidia kukutafutia shamba la kukodi na ushauri wa hapa na pale ila masuala ya usimamizi tafuta mtu wako wa karibu akusaidie.
Karibuni.