Kwa wakulima wa kilimo cha umwagiliaji

Fundi mahiri wa ujenzi

JF-Expert Member
Dec 10, 2012
3,950
2,436
Habari wanajamii,
Kwa mda mrefu nimekuwa nikilifuatilia kwa undani jukwaa hili juu ya hoja na ushauri mbalimbali kuhusu kilimo. Ni jukwaa ambalo limenijenga na kunifumbua macho juu ya opportunity ambazo zipo shamba hilo niliweke wazi. Binafsi shughuli zangu na NGUVU zangu niliwekeza zaidi ktk biashara hususani biashara za bar, ni zaidi ya miaka sita Niko katika hizi biashara lakini sijaona substantial changes ktk maishayangu nikijitahidi sana nikununua usafiri tena usafiri wenyewe gari used ambayo haizidi hata tshs 4.5mil. Nimegundua napoteza muda wangu, hivyo basi nimeamua ni badili maisha yangu na kuyaelekeza kwenye kilimo. Kwa sasa natafuta shamba. Maombiyangu kwenu wakulima ni Haya:-

1) Naomba mniruhusu kutembelea mashamba yenu ili ni fanye feasibility study.

2) Mnisaidie kupata taarifa ya wapi naweza pata mashamba ambapo Maji haitakuwa shida kupata kwa ajili ya umwagiliaji.

Natanguliza shukrani zangu.
 
kama bei haijabadilika heka moja ni 275000 ila inakuwa imelimwa Mara moja hivyo block moja ni heka 15 hivyo kwa wanaolima huko wanasema kuwa kutunza block moja hadi kuvuna unatakuwa uwe na wastani na kiasi cha 15-18m ambapo utavuna kuanzia gunia 450-500 kwa ujazo wa debe 10
 
Mkuu hiyo 275000 ni kukodi aka kununua?
 
Kaka hiyo ni kukodi tu na kupata shamba siyo kazi rahisi ndg watu wamejazana kwa sababu mtu anatumia 16m halafu akivuna akiuza kwa bei ya Laki anauhakika wa kupata 45m na zaidi
 
njoo , morogoro huku kuna sehemu wanalima mbaazi shamba ekari moja ni elfu 70 unanunua linakuwa lako, alafu ukipanda mbaazi ekari moja ni kama laki moja ila huwa wanachanganya na mahindi kwahiyo baada ya miezi kama mitatu utavuna mahindi kisha baada kama ya miezi kumi unavuna mbaazi.Gunia moja ni laki tatu unavuna gunia kati ya tatu mpaka nne kwa ekari, hakuna kutumia madawa , wala gharama nyingine zaidi ya kupalilia ambayo ipo ndani ya laki na wakati wa kuuza wanakufuata mpaka shambani .Mwaka huu wanunuzi wameanza kununua hata kabla mazao hayajavunwa. Nimelima mara ya kwanza mwaka huu nikivuna bei ikiwa nzuri ntalima ekari nyingi zaidi
 
njoo , morogoro huku kuna sehemu wanalima mbaazi shamba ekari moja ni elfu 70 unanunua linakuwa lako, alafu ukipanda mbaazi ekari moja ni kama laki moja ila huwa wanachanganya na mahindi kwahiyo baada ya miezi kama mitatu utavuna mahindi kisha baada kama ya miezi kumi unavuna mbaazi.Gunia moja ni laki tatu unavuna gunia kati ya tatu mpaka nne kwa ekari, hakuna kutumia madawa , wala gharama nyingine zaidi ya kupalilia ambayo ipo ndani ya laki na wakati wa kuuza wanakufuata mpaka shambani .Mwaka huu wanunuzi wameanza kununua hata kabla mazao hayajavunwa. Nimelima mara ya kwanza mwaka huu nikivuna bei ikiwa nzuri ntalima ekari nyingi zaidi[/QUOT
maeneo yanapatikana ila ni mpaka kuagiza yatafutwe. huko mimi ni nyumbani kwahiyo nina ndugu ambao hunitafutia mashamba, mimi nipo dar
Nipo dar nitakupm namba yangu ili nikuone mkuu
 
njoo , morogoro huku kuna sehemu wanalima mbaazi shamba ekari moja ni elfu 70 unanunua linakuwa lako, alafu ukipanda mbaazi ekari moja ni kama laki moja ila huwa wanachanganya na mahindi kwahiyo baada ya miezi kama mitatu utavuna mahindi kisha baada kama ya miezi kumi unavuna mbaazi.Gunia moja ni laki tatu unavuna gunia kati ya tatu mpaka nne kwa ekari, hakuna kutumia madawa , wala gharama nyingine zaidi ya kupalilia ambayo ipo ndani ya laki na wakati wa kuuza wanakufuata mpaka shambani .Mwaka huu wanunuzi wameanza kununua hata kabla mazao hayajavunwa. Nimelima mara ya kwanza mwaka huu nikivuna bei ikiwa nzuri ntalima ekari nyingi zaidi
Hongera sana. Nitakutafuta soon
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom