Kwa wakubwa tuu.........

Mu-sir

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
3,621
1,629
Wakubwa naomba msaada kidogo. Yani kila ninapofungua subforum ya mambo ya kikubwa inagona na kuniambia i have no permission. Anyone who knows how i can solve it please help me.
 
omba kwa mods, kama una vigezo utaruhusiwa. Lakini unataka nini huko? Sasa hivi tupo busy na kutaka kujua mustakabali wa nchi yetu.
 
Mambo mawili: uko under 18 au machine yako (computer or cm) imedetect kua unataka upost ujinga! hebu mcheki Mama BIG anaweza kukusaidia maana yeye ndo mwenyekiti wa hicho kitengo
 
Asante kwa ushauri japo nina nia nzuru tu kama mtu mzima yaani 18+
 
Haya usijali mpwa, jaribu tena, au fungua kwanza subforum nyingine au refresh labda yaweza kukubali, ndo kagiza kameingia haka, vipi wataka uchote kaujuzi kidogo? umepata shamba jipya nini? haya all da best ila ukumbuke vitendea kazi
 
omba kwa mods, kama una vigezo utaruhusiwa. Lakini unataka nini huko? Sasa hivi tupo busy na kutaka kujua mustakabali wa nchi yetu.
Sema utakacho wataalam watakusaidia mimi nimesaidiwa mambo ah!:yield:
 
wewe umeingia JF tu unakimbilia mambo ya kikubwa; kwa sasa ningekushauri ufuatilie kwa karibu zaidi nini kinaendelea kwenye suala zima la dhamana ya nchi kwa miaka mi5 ijayo....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom