Wakubwa naomba msaada kidogo. Yani kila ninapofungua subforum ya mambo ya kikubwa inagona na kuniambia i have no permission. Anyone who knows how i can solve it please help me.
Mambo mawili: uko under 18 au machine yako (computer or cm) imedetect kua unataka upost ujinga! hebu mcheki Mama BIG anaweza kukusaidia maana yeye ndo mwenyekiti wa hicho kitengo
Haya usijali mpwa, jaribu tena, au fungua kwanza subforum nyingine au refresh labda yaweza kukubali, ndo kagiza kameingia haka, vipi wataka uchote kaujuzi kidogo? umepata shamba jipya nini? haya all da best ila ukumbuke vitendea kazi
wewe umeingia JF tu unakimbilia mambo ya kikubwa; kwa sasa ningekushauri ufuatilie kwa karibu zaidi nini kinaendelea kwenye suala zima la dhamana ya nchi kwa miaka mi5 ijayo....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.