Kwa wakina baba tuuuu - rejesha heshima kwa b/room

Nxt Millionaire

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
406
89
Happy Valentine Day to all.
Sio siri aina ya vyakula tulavyo na style ya maishi tuishio yanatuathiri sana kiafya na hasa utendaji wetu bed room, wenza wetu wamekuwa wakitaabika sana na hili ila wanaugulia kimya kimya, wapo labda wenye kuthubutu wanaojaribu namna flani ili kurejesha mahusiano bora chumbani, lakini wengi wao wanaugulia chinichini.

Nakumbuka wakti wa mkutano wa Sullivan kule A-City tulipata fursa ya kwenda Ngorongoro kwenye maboma ya kimasai, kule kuna vitu vingi vinauzwa vya urembo NK. lakini bidhaa iliyonunuliwa sana tena na kina mama ni dawa ya kimasai ya kuongeza nguvu za kiume.

Hii inamaanisha nini kwa kina baba wenzangu?

Tuamke, nimekutana na hii kitu inaitwa Forever Multi Maca.
Nimejaribu yapata miezi mitatu sasa spidi ni 120 kwenye kona shaaa.
Mwenye kuitaji atembelee au aache ujumbe HAPA

Siku njema ya wapendanao.
 
Aisee mie mzima sana na nachelea kutumia hayo madude sio mazuri yanaongeza matatizo huko mbele ya safari. Miaka kumi ijayo biashara ya vibrator itashamiri kwakuwa majogoo yenu yatakuwa hayasikii tena dawa!
 
Asante kwa utafiti na kushare uzoefu. Hata hivyo kwenye link uliyotoa inaonekana ni dawa ya akina mama kule Peru. Sijui ni kuzungu kimenipita kushoto au ni forever mult maca nyingine. Naomba kusaidiwa.
 
sio dawa ya kimasai....ni WATU WANATANGAZA SOKO LA DAWA ZAO AMBAO UKIWABANA WANAKWAMBIA NI LISHE SI DAWA
 
Aisee mie mzima sana na nachelea kutumia hayo madude sio mazuri yanaongeza matatizo huko mbele ya safari. Miaka kumi ijayo biashara ya vibrator itashamiri kwakuwa majogoo yenu yatakuwa hayasikii tena dawa!
Hongera sana kama bado uko fiti, ni jambo la kumshukuru Mungu, lakini wengi wetu twaathirika na mavyakula tulayo mjini, hewa pamoja na life style pia, vyatufanya twapoteza virutubisho vingi sana mwilini na hivyo kupunguza ufanisi na zaidi na hasa huko bed room.
 
Asante kwa utafiti na kushare uzoefu. Hata hivyo kwenye link uliyotoa inaonekana ni dawa ya akina mama kule Peru. Sijui ni kuzungu kimenipita kushoto au ni forever mult maca nyingine. Naomba kusaidiwa.

Kaka, physical boundaries no long apply in the Information Era we live in, Peru na Dar ni kama Manzese na Sinza tu.
 
Nikweli baada ya miaka kadhaa tutakuwa wote wanawake maana sasa hiv kila raia wana shida hizo thanks by dee
 
Aisee mie mzima sana na nachelea kutumia hayo madude sio mazuri yanaongeza matatizo huko mbele ya safari. Miaka kumi ijayo biashara ya vibrator itashamiri kwakuwa majogoo yenu yatakuwa hayasikii tena dawa!

Jambo jingine kaka waelimishe wabongo wenzangu hapo mjini na hiyo style ya kwenda kununua nyanya za kopo, juice za kopo nk. kwenye hizo supermarkets.
Watu wanatakiwa wale organic foods na wanunue bidhaa za masoko ya huko mitaani. Hizo canned products zitawaua. Ughaibuni tunashindwa kula organic wakati wote sababu ni ghali sana. Sasa nyumbani huko mtu akienda kununua canned/boxed foodstuff kule kwenye masupermarket eti ni mjanja na yule wa msoko ya mitaani ni mshamba!
Tubadilike la sivyo hizo supermarket canned/boxed foodstuffs ambazo ni highly processed zitatuua kiafya hasa majogoo yetu
 
Asante mkuu kwa kupanua wigo na mada hii.
 
Back
Top Bottom