Kwa wake na waume, wapenzi na michepuko. hakuna kutoa huduma kwa siku 3 kutokana na tukio hili

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,652
14,247
tukio la kufariki kwa kamanda mwenzetu huko dodoma limepokelewa kwa hisia sana na chama cha wapiga ukuni kimeamua ku muenzi kamanda aliyefariki kwenye mapambano kwa siku tatu hakuna kupiga show. so kama umeoa jaribu kuliweka hili katika ratiba. jamaa amefariki akiwa anatimiza majukumu ya kitaifa. na amekufa kiume kishujaa.

lakini pia tuchukue nafasi hii kuwaomba dada zetu nao wawe karibu kumfariji mwenzao na kumtia moyo kuwa haya yote ni mapito si ajabu inzi kufia kidondani. nimeshaanza utaratibu wa kuwasiliana na watu kadhaa ili tuweze kusafiri kuelekea dodoma ku taradadi katika tukio hilo. na pia kuchukua nafasi hii kuwaelekeza ammbo mawili matatu ya kuhusiana na kanuni za upigaj show ili matukio haya yasiendelee. wakati mjini watu wanakunywa supu ya pweza ambayo haina madhara ninyi mnakazana na mikuyati na viagra na matokeo yake yanaonekana.

kwa wale wanawake walio tayari kuelekea dodoma tuwasiliane itakuwa ni safari ya matembezi ya mshikamano so tutaenda kwa vituo tukilala sehemu mbali mbali mpaka kufika dodoma.
 
Back
Top Bottom