Kwa wakazi wa mwanza, dar na dodoma na wote wenye experience nisaidieni tafadhali....

Tasia I

JF-Expert Member
Apr 21, 2010
1,223
193
Nawasalim wote,
1. Naomba kufaham kulingana na mnavyo faham,
biashara ya haisi (hiace) kwa siku hulaza sh.ngapi kwa tajiri
na makubaliano hua yapoje kulingana na sehem yenyewe
(kama ni dar, mwanza n.k)

2. Hali ya kibiashara hii ipoje katika hilo eneo husika. yaani biashara ipo au
inafanyika kwa shida?

Mawazo yenu yatanisaidi sana kwsababu nina plan ya kuifanya biashara hii ila sijawahi before
hivy siifaham saaana.

Asanteni wote.
 
Umepotea njia mkubwa... Hii thread ipeleke kwenye mabiziness kule
 
Umepotea njia mkubwa... Hii thread ipeleke kwenye mabiziness kule
we ndo umekariri habari. hili ni jukwaa la mahusiano, urafiki na mapenzi.
sio kua mahusiano na urafiki unaozungumzwa hapa ni romantikitu!
na urafiki pia haupo limited into romance peke yake.
kama marafiki tunaweza zungumza na kusaidiana mambo mbalimbali ndani ya jkwaa hili.
 
Kwa huku nilipo kwa sasa (machame), hiace zina dili karibu na mwisho wa mwaka, miezi mingine ni mizunguo kiasi japokuwa haukosi kabisa.
kiasi Kwa siku inategemea mambo mengi ila haukosi elfu 20 japokuwa waeza pata hata zaidi ya elfu 50.
Kikubwa uwe na dreva na konda waliochangamka na waaminifu.
 
aika mbe peri.
 
ninachokifahamu ni kuwa wengi wa wanaofanya biashara hii hawana muda ama hawajui kabisa matumizi ya mtandao huu hivyo ni vigumu kupata jibu haraka lakini kwakuwa umeomba msaada basi endelea kusubiri au ulikuwa unamaanisha nini zaidi?
 
inalaza 30 kwa siku,dereva unamlipa laki kwa mwez, ila inabid uwe na mda wa ku2sha kuhudhuria gereji na polis mara kwa mara. umpate dereva mwaminifu asije akaipeleka masafa ya mbali, mfano kwa arusha-majengo-mbauda-sakina 30 ni sawa ila akiipeleka mto wa mbu au munduli inabid wakupe kuanzia 50 maana itakula kilometa sana afu kule wanapakia mizigo balaa
 
Hiyo biashara inalipa sana kama unaifanya mwenyewe. Yaani unaendesha wewe! Hakuna dereva au konda mwenye akili utakayempata. Wote ni wahuni na hata hiyo hesabu kuipata itakuwa kazi.
 
we ndo umekariri habari. hili ni jukwaa la mahusiano, urafiki na mapenzi.
sio kua mahusiano na urafiki unaozungumzwa hapa ni romantikitu!
na urafiki pia haupo limited into romance peke yake.
kama marafiki tunaweza zungumza na kusaidiana mambo mbalimbali ndani ya jkwaa hili.

acha kujamba ki2 haitoki ww!! thread yako hapa si mahala pake ndio mana kukawa na majukwaa tofauti ....... km hii utaileta humu kuna maana gani y kuwa na jukwaa la mabizinesi.
 
Back
Top Bottom