Kwa wakazi wa mwanza, arusha ,tanga nawataarifu kuna biashara nzuri mikoa yenu

BIGK

Member
Sep 6, 2017
21
22
Wenye mapenzi ya biashara mliopo mikoaa hiyo mnaawezaa kupiga pesa na kupata milioni kwa mwezi ila mtaji uwe milioni 8-10 ndo utaweza Fanya Mwenye shida ya kujua na Mwenye mtaji aje pm
 
Si uifanye wewe mwenyewe hiyo biashara uwe tajiri! Au wewe hupendi kuwa tajiri? Au si uwape ndugu zako hayo maarifa, au ndugu zako hawapendi kuwa matajiri? Pita kule mzushi wewe.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom