Kwa wakazi wa Mtwara Chuo kipi kizuri cha elimu ya ufundi?

Ndugu zanguni nina rafiiki yangu ambae anahitaji kwenda kuanza mafunzo ya Ufundi kwenye Chuo Cha Veta hapa Mtwara

Hivyo Ndugu ninaombeni kwa yeyote anayefahamu chuo kizuri cha veta kilichopo mkoani Mtwara chenye mafunzo mazuri haswa ya Umeme na uchomeaji.Asanteni
mmmh Mtwara kuna VETA kule Shangani tu karibu na Bahari

Au kuna VETA mpya

Tulikuwa tunaenda piga starehe na Kuogelea pale VETA kwenye swimming pool
 
Back
Top Bottom