Kwa wakazi wa Mbeya unakaribishwa katika semina ya mafunzo ya ufugaji wa kuku na utengenezaji wa incubator aina zote hamna kiingilio

maoni Ngalla

Member
Oct 11, 2016
60
49
Kama upo Mbeya na ulihitaji kupata mafunzo ya ufugaji wa kuku pamoja na utengenezaji wa incubator aina zote na za kisasa zaidi nione inbox nikuunge kwenye group la maandalizi Semina hii ya mafunzo

MAFUNZO YATATOLEWA BURE

Mafunzo na huduma zitakazotolewa ni Kama zifuatazo
1.utengenezaji wa mabanda ya kisasa kwa gharama nafuu

1. Utengenezaji wa chakula Cha kuku

2.Uleaji wa vifaranga

3. Elimu ya utotoleshaji wa kuku aina zote

4.Uandaaji wa chanjo na dawa za kuku

5. Utengenezaji wa incubator aina zote,yaani zinazotumia solar na umeme, automatic na manual pia utafundishwa kubadili mafridge yaliyoharibika kuwa incubator,pia utaelekezwa kubadili ndoo kuwa incubator ambayo utatumia Kama kianzio

6.FAIDA ZINGINE UTAKAZO PATA KATIKA SEMINA HII NI KAMA ZIFUATAZO
I) mikopo ya vifaranga kwa wote watakaohudhuria

II) Mikopo ya mashine kwa ambao hawana kianzio

III) Kutafutiwa masoko yaani wateja wa kuku

Iv) Pia wote watakao hudhuria watapatiwa vyeti vya mafunzo

Semina itaanza tarehe 21 MWEZI huu wa Saba Hadi tarehe 31 MWEZI huu

Mafunzo yatazinduliwa na viongozi wa serikali

KWA WANAOHITAJI NIONE INBOX NIKUWEKE KATIKA GROUP LA MAANDALIZI

NA HII NI KWA WAKAZI WA MBEYA

Mawasiliano 0747456177
 
Niunge mkuu nashindwa kukupata what up namba yangu 0745154602 nipo Mbeya airport
 
Back
Top Bottom