chibhitoke
Member
- Jun 1, 2010
- 60
- 12
Kwa wakaazi wa Mbeya, nimepata taarifa kuwa mmoja wa wakazi maarufu wa mji wa Mbeya mzee Sombrero amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. Alikuwa mfanyabiashara maarufu katika sekta ya Hotel, ndiye mwenye jengo zilizopo ofisi za Vodacom Mbeya mkabala na Aghakhan Hospital.
Poleni ndugu, jamaa na marafiki.
Poleni ndugu, jamaa na marafiki.