Kwa wakazi wa Mbeya: Isaya Aswile anatafutwa

tanje

JF-Expert Member
May 27, 2014
251
41
Kuna kijana anaitwa Abdul (Edward jina la utotoni) joel anaishi Mbeya kwa sasa yuko Dar es Salaam anamtafuta kaka yake anaitwa "Isaya Aswile" huyo kaka yake alizaliwa "Mbeya Tukuyu Ibaga"na kukulewa na bibi yake huko baada ya kufikisha umri wa kuweza kuongea baba yake alimchukua na kwenda nae Zambia hakuwahi kamwe upande wa mama yake, Abdul anasikia tu kuna wakati Isaya huwa anaenda Iyunga kusalimu nduguze wanapata habari kuwa anajishughulisha na magari Zambia (dereva).

Yeyote amjuaye huyu ndugu Isaya Aswile ampatie maelezo Abduli hata kwa sms no 0714570156 (Abdul Joel 1985 na Isaya Aswile 197?) ni watoto wa mama mmoja anaeitwa (Victoria Eliya ni kwa sasa marehemu alifariki miaka ya 90.

ASANTENI WANA JAMVI.
 
Kama mnawatelekeza watoto iweje wakikua na kuanza kujitegemea muanze kuwatafuta?, kwanza andika vizur maelezo ueleweke ndpo usaidiwe
 
Peleka tangazo tanroads watakusaidia kuliweka kwenye mizani zao maana kwa kazi afanyayo mizani zinamuhusu
 
Pia usisahau kutuma barua RFA radio free Africa SearchLine session ili watangaze.
 
Back
Top Bottom