Kwa wakazi wa Dodoma

pnk

Member
Mar 24, 2015
55
18
Habari za majukumu wapendwa,mimi nipo Dodoma natafuta marafiki wa kike waliopo Dodoma kwa ajili ya kubadilishana mawazo na kusaidiana mambo ya kike kama ambavyo mnajua wanawake tunapenda kushirikiana.Sina muda mrefu sana tangu nihamie mkoa huu kwaiyo nakuwa mpweke sana sina marafiki wa kutembeleana nao na kupiga nao story.Kwa wadada au wamama wenzangu mlio tayari basi tukutane PM tufahamiane vizuri.Nawapenda sana.
 
Wa kiume je?
 
are u lesbian??usije ukaanza kuwatomasa huko mkavuana
Kutafuta marafiki wa kushirikiana nao katika shida na raha ni ulesbian?hebu muogope Mungu na usipende kuhukumu binadamu wenzio.Ulitaka niseme natafuta marafiki wanaume hata kama ninae mwanaume wangu tayari?
 
Marafiki wa kike?????

Wewe utakua MKOBOAJI si bure.

Inamaana hata hapo mtaani kwako hakuna majirani wa kike na wamama?

Unaishi dodoma mtaani gani ambao umezungukwa na wanaume tupu

Ukubali ukatae,
 
Watanzania bwana!kwa nini hampendi ku think positive kila kitu nyie ni ku think negative tu?alafu eti ni great thinkers,dumb ass kabisa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom