Kwa wakazi wa Arusha wanaohitaji CD ya ukweli wa maandamano ya Ars wanitafute!

Sarya

Senior Member
Nov 6, 2009
151
41
Wale wakazi wa A-town na wapenzi wa kujua ukweli wa maandamano ya Arusha tarehe 5- Januari wanitafute.
Hii ni kwa manufaa yao na ya kizazi kijacho kuthibitusha kuwa enzi ya uchakachuaji haina nafasi tena katika jamii yetu.
Nawakaribisha wanamapinduzi na wanaharakati wote.
 
Mkuu! Mi kwa muda huu ni A town,Je? Upo mtaa gani majira haya?
 
Wale wakazi wa A-town na wapenzi wa kujua ukweli wa maandamano ya Arusha tarehe 5- Januari wanitafute.
Hii ni kwa manufaa yao na ya kizazi kijacho kuthibitusha kuwa enzi ya uchakachuaji haina nafasi tena katika jamii yetu.
Nawakaribisha wanamapinduzi na wanaharakati wote.

1.Unapatikana sehemu gani hapa arusha

2. Muda mwafaka wa kukupata na ingekua poa kama ungeweka no ya cm then tuku cal,

Otherwise well done for the great job/work mpaka ukaipata ile genuine ili tuwakimbize ccm ana asasi zake za kiraia na ki-intelejensia walio chakachua mpango mzima,.................
 
upload tuipate wengi, otherwise UWT ya SISIEM watakutafuta waku assa....s..t kama wale waandamanaji
 
Back
Top Bottom