Kwa Wajasiriamali wa kilimo wanaotaka kujazwa Mapesa...Soma Hapa.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa Wajasiriamali wa kilimo wanaotaka kujazwa Mapesa...Soma Hapa..

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Kivumah, Jul 18, 2012.

 1. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  ..Kwa Wajasiriamali wa Kilimo kuna MAPESA yapo hapo yanasubiri Watanzania wayaombe. Haya Tuchangamke wakuu


  The AECF Tanzania Agribusiness Window

  Does your company have a Great Business Idea that will …

  • Provide solutions that will help smallholder farmers develop their businesses and increase their income and productivity.
  • Develop new markets for agricultural products along the value chain?
  • Increase financial services to businesses and people in rural areas?
  If so, read on ...

  The AECF's aim is to support business innovation in Tanzania's commercial agriculture sector. The Tanzania Agribusiness Window (TZAW) Competition seeks innovative and commercially viable business ideas that can result in a huge development impact if they can adequately mitigate the risk


  To apply please read the information on this website and then go to theapplication form to register and to download the application guidance notes and application form.

  Apply Now - Competition closes 5th August 2012


  SOURCE: AECF - Tanzania
   
 2. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,935
  Likes Received: 672
  Trophy Points: 280
  thanks
   
 3. Kitope

  Kitope JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 228
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Aaha!! Inaelekea hii ni kwa wale waliosoma na kutaka kulima instead!! Mkulima kama mimi ambaye niko katika hali ya chini kwa kielimu na kiuchumi hiyo application na business plan naianzia wapi iwapo hata maana ya application nikaulize kwa mjumbe na yeye atanijibu kesho kwa sababu inabidi awakilishe kwanza. Unless Dude, you mean this is only for those who have english proficiency in significant to their mother tongue. Sikatai kuwa funds are good though a hidden agenda behind "The Competition" can be scary for some of us. Leo mkulima ana idea nzuri lakini uchumi haumruhusu, kwa hiyo awatumie nyinyi ili mumpasishe na kama hajafanikiwa kwenu na idea yake mnayo inakuaje?, If you can elaborate what happens next now that you both have the same idea with all the strategies and the only thing that distinguish the two parts is Cash! you have it and the so called farmer got none??? Any legal guarantee kwa mkulima ili kesho asijikute watu wanafanya exactly what he had in mind without him being benefited from it!!!? and the worst is mkulima anaweza kukuta anaondolewa kwenye shamba lake mwenyewe kwa sababu kuna project inabidi ku take place :)
   
 4. Kitope

  Kitope JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 228
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Nauliza tu!! Kitope sina elimu na kuuliza sio ujinga. at-least babu aliniambia hivyo
   
 5. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #5
  Jul 18, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Kitope, katika pita pita zangu humu mitandaoni nikaona hio opportunity kwa watanzania, ndo nikaitupia hapa ili kuwashirikisha. Binafsi sihusiki na hao jamaa. Maelezo zaidi ingia katika Tovuti yao.
  Nadhani tupo pamoja sasa
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Kitope

  Kitope JF-Expert Member

  #6
  Jul 18, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 228
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mjumbe huwa hauwawi Mkuu!! nami sijakushutumu kwa kutupa hiyo post hapa. Hilo halina kosa ila tu nami kwa kuweka wazi wanakijiji wenzangu ili wasije kumwaga mtama shimoni, kuku haruki kaka!! kama watu wanataka kufanya fund watembelee huko mashambani kuna wanavijiji wana nia na michakato mingi mizuri mpaka wengine wameunga vikundi ili kujiendeleza!! kwa mtindo huo hao jamaa tajwa watapata mshindi bila haja ya kusoma applications. Kitope napita
   
Loading...