mayenga
JF-Expert Member
- Sep 6, 2009
- 4,118
- 1,966
Nitakuwa mtovu wa fadhila kama nikishindwa kuwashukuru ndugu zangu waislamu hasa majirani zangu.Kipindi chote cha mfungo ukarimu nilioushuhudia ni wa ajabu,kuanzia huduma ya tende na harua(sijui kama nimepatia) mpaka chakula mseto,kiukweli ile hali ya upweke kwa sababu ya ubachelor ilipotea kwa muda,ila kuanzia jana dah!