Kukaa chini ni usawa kwa aliyenacho na asiye kuwa nacho hilo nalijubali kwa 100%uislam ndio imani pekee inayoweka usawa kati ya tajiri na maskini
funga ya ramadhani huwa inawaweka karibu maskini na matajiri kwani wote hushinda bila kula.
kwenye kufturu walionacho hujumuika na wasionacho kwenye kufturu,mtu mwenye sofa la milioni tano hawezi jumuika na maskini kumi kwenye hilo sofa,kwani kumualika mtu futari ni ibada ya sadaka,itatafutwa sehmu yenye uwazi,ndani au nnje
hivyo umegeuka utamaduni kufturu nnje na chini kwa mjumuiko wa watu zaidi ya 5.Na hili ni fundisho kua siku zote tunatakiwa kula pamoja,sio ubinafsi unajifungia kwako na mappiza then humalizi unaenda kuyatupa jalalani,wakati jirani yako kalala njaa,hii imefanya hata wakristu wanakula ftari yetu japo hawajafunga,mwezi mzima wanasave,ingekuaje kama tungekua tunajificha,manake ukipita unakaribishwa,
hata kwenye kuzika utajiri utajiri wa muislamu haumpeleki kaburini,bali ni wale maskini na alioishi nao kibiinadamu,na sanda ya maskini ndo hio hio anavaa tajiri.
kifupi ni kua uko kukaa chini ni ishara ya usawa na kutokua na ubinafsi,ndo ukaitwa mwezi mtukufu wa Ramadhani,sababu wote tunashinda bila kula inakuaje kwenye kufuturu ukajifiche na BUFEE lako peke yako
Tunakubalia kula wima kunakatazwa kukaa juu ya meza kwa kufuturu nako kunakatazwayapo mafundisho yanayokataza kula wima
Kukaa chini sio alama ya usawa wala nini ni tamaduni za huko mashariki ya kati kwa sbb hawakua na mbao za kuchongea viti na meza.uislam ndio imani pekee inayoweka usawa kati ya tajiri na maskini
funga ya ramadhani huwa inawaweka karibu maskini na matajiri kwani wote hushinda bila kula.
kwenye kufturu walionacho hujumuika na wasionacho kwenye kufturu,mtu mwenye sofa la milioni tano hawezi jumuika na maskini kumi kwenye hilo sofa,kwani kumualika mtu futari ni ibada ya sadaka,itatafutwa sehmu yenye uwazi,ndani au nnje
hivyo umegeuka utamaduni kufturu nnje na chini kwa mjumuiko wa watu zaidi ya 5.Na hili ni fundisho kua siku zote tunatakiwa kula pamoja,sio ubinafsi unajifungia kwako na mappiza then humalizi unaenda kuyatupa jalalani,wakati jirani yako kalala njaa,hii imefanya hata wakristu wanakula ftari yetu japo hawajafunga,mwezi mzima wanasave,ingekuaje kama tungekua tunajificha,manake ukipita unakaribishwa,
hata kwenye kuzika utajiri utajiri wa muislamu haumpeleki kaburini,bali ni wale maskini na alioishi nao kibiinadamu,na sanda ya maskini ndo hio hio anavaa tajiri.
kifupi ni kua uko kukaa chini ni ishara ya usawa na kutokua na ubinafsi,ndo ukaitwa mwezi mtukufu wa Ramadhani,sababu wote tunashinda bila kula inakuaje kwenye kufuturu ukajifiche na BUFEE lako peke yako
Lakini wakawa na mbao za kujengea ?Kukaa chini sio alama ya usawa wala nini ni tamaduni za huko mashariki ya kati kwa sbb hawakua na mbao za kuchongea viti na meza.
Ngoja nijiongeze. Nadhani tunazungumzia enzi hizoo na kipindi hiko nyumba zao zilijengwa zaidi kwa mawe.Lakini wakawa na mbao za kujengea ?
Japan hawana mgodi wa chuma lakini ni wazalishaji wakubwa wa bidhaa za chuma
Jiongeze kidogo
Haikatazwi isipokuwa kwa idadi ya watu uliowaalika kufuturu kama wataka ufakhari na si ibada basi waandalie meza.Tunakubalia kula wima kunakatazwa kukaa juu ya meza kwa kufuturu nako kunakatazwa
Uislam hauna viti mpaka msikitini ikiwa ni ishara ya usawa na hata ukiwa tajiri kiwango gani ukiwakuta wenzio washakaa mbele basi utakaa nyuma haijalishi wewe ni nani la!Wanafuata tamaduni za dini ambazo nyingi ni za waarabu
HakukatazwiTunakubalia kula wima kunakatazwa kukaa juu ya meza kwa kufuturu nako kunakatazwa
Umenyooosha waya.....shukran mkuuuislam ndio imani pekee inayoweka usawa kati ya tajiri na maskini
funga ya ramadhani huwa inawaweka karibu maskini na matajiri kwani wote hushinda bila kula.
kwenye kufturu walionacho hujumuika na wasionacho kwenye kufturu,mtu mwenye sofa la milioni tano hawezi jumuika na maskini kumi kwenye hilo sofa,kwani kumualika mtu futari ni ibada ya sadaka,itatafutwa sehmu yenye uwazi,ndani au nnje
hivyo umegeuka utamaduni kufturu nnje na chini kwa mjumuiko wa watu zaidi ya 5.Na hili ni fundisho kua siku zote tunatakiwa kula pamoja,sio ubinafsi unajifungia kwako na mappiza then humalizi unaenda kuyatupa jalalani,wakati jirani yako kalala njaa,hii imefanya hata wakristu wanakula ftari yetu japo hawajafunga,mwezi mzima wanasave,ingekuaje kama tungekua tunajificha,manake ukipita unakaribishwa,
hata kwenye kuzika utajiri utajiri wa muislamu haumpeleki kaburini,bali ni wale maskini na alioishi nao kibiinadamu,na sanda ya maskini ndo hio hio anavaa tajiri.
kifupi ni kua uko kukaa chini ni ishara ya usawa na kutokua na ubinafsi,ndo ukaitwa mwezi mtukufu wa Ramadhani,sababu wote tunashinda bila kula inakuaje kwenye kufuturu ukajifiche na BUFEE lako peke yako
kukaa kwenye mkeka ni utamaduni wa kiarabu,si uislamTunakubalia kula wima kunakatazwa kukaa juu ya meza kwa kufuturu nako kunakatazwa
Me pia kakaNakupenda sana dada
Unahangaika nini na dini yetu?mbona Musa alivua viatu alipoenda kuongea na Mungu nyie mnatoka chooni na viatu hadi kanisani na mnaongea na Mungu Wenu?Mbona sie hatusemi kitu?Hamjiswafi mkienda kuongea wala kuabudu mnaenda na majanaba ya miaka na miaka sie hatusemi?Nyie mna dini yenu na siye tuna dini yetu,basi Tuacheni!Ni lazima kukaa kwenye mkeka au chini wakati wa kufuturu? Hayo ni mafundisho au ni mila tu yakawaida
Napata taabu kuona baadhi ya watu hujilamisha kukaa wakati wengine wakiwa hawajiwezi
Nawasilisha
tupe ushahidi kwamba sio utamaduni wa kiislam!!kukaa kwenye mkeka ni utamaduni wa kiarabu,si uislam
Kufahamu ni kuzuri na kuuliza pia ni kutaka kujua naona baadhi ya watu wakihangaika kukunja miguu wakati kwa kuftari na kujilazimisha wasiyoyaweza ndo likaja hili la kufuturu ni lazima kukaa kwenye mkeka au jamvi kama dini ni yetu sote tunayoiaminiUnahangaika nini na dini yetu?mbona Musa alivua viatu alipoenda kuongea na Mungu nyie mnatoka chooni na viatu hadi kanisani na mnaongea na Mungu Wenu?Mbona sie hatusemi kitu?Hamjiswafi mkienda kuongea wala kuabudu mnaenda na majanaba ya miaka na miaka sie hatusemi?Nyie mna dini yenu na siye tuna dini yetu,basi Tuacheni!
Mkuu kama unakitambi huwezi kukaa kwenye mkeka basi kaa kwenye kiti>samahani kama nimekukwaza!Kufahamu ni kuzuri na kuuliza pia ni kutaka kujua naona baadhi ya watu wakihangaika kukunja miguu wakati kwa kuftari na kujilazimisha wasiyoyaweza ndo likaja hili la kufuturu ni lazima kukaa kwenye mkeka au jamvi kama dini ni yetu sote tunayoiamini