Elections 2010 Kwa Wahusika Chadema: Nina wazo la kusaidia kampeni ya Mh. Slaa

Lakini Stivu, kwa nini tu usiwasiliane moja kwa moja na CHADEMA? Wana mtandao, wanachama wake kama akina Mnyika, Regia, na wengineo wako fesibuku, why not reach out to them directly? Doing that sounds more logical to me but who am I to say....

Here you are just inviting all kinds of folks to chime in and ultimately hijacking the topic, mudsling, etc....

kwani wewe umechangia nini hapa

Huo hapo mchango wangu. Wako uko wapi?
 
Ni jana tu mlikuwa mnasema Chadema haiwezi kupewa nchi leo mnataka kuwa washauri wa Chadema unafiki huo. Hatudanganyiki.

"Ni jana tu".... within context ya hii thread, ni wapi hapo nimesema hayo?! "mlikuwa mnasema"... ni nani huyo alikuwa anasema hayo na yalihusiana vipi yaliyosemwa na thread hii??
 
Nasema tena nyie msidanganye watu, Chadema inahitaji wagombea iko vitani inajitahidi kutafuta potential figures za kugombea nyie mnasema issue ya Mpendazoe imewa irk hivi kweli nyie ndio mnataka kuishauri Chadema, kweli mnaitakia mema Chadema? leo Nyani Ngabu, Acid, Steve Dii MS, Kiranga, Rev. Kishoka leti wamegeuka washauri wa Chadema siamini kama ni kweli nitakuwa wa mwisho baada ya wenzangu wote kuamini.
 
Mkuu wangu issue ya Mpendazoe ilitushtua wengi na ku taste uchungu wa nyogo kinywani, hili halina Steve Di wala Mkandara - It is a fact!..
 
I see that you are taking these matters too personal! Usitake kusema kuwa una karatasi ya kunote wanaoiunga na kuipinga CHADEMA kwenye hii forum? Watu kuonyesha sentiments kwenye mambo ambayo wana mashaka nayo haimaanishi kuwa wako totally opposed to the whole issue.
Kwa mtaji huu unaweza kushindwa kuipata kura ya mpigakura anayekuuliza maswali kuhusu mustakabali wake akikupa kura yake, badala ya kumjibu utaanza kumwambia ametumwa kukuuliza maswali magumu? Hayo ndiyo tuliyoyasikia yakitokea kwenye primaries za CCM kuwa mgombea aliulizwa maswali na mapandikizi, hawajui kama wanatueleza kuwa wao wanaandaa mapandikizi wa kuwauliza maswali rahisi. Kiongozi thabiti na mwenye upeo atajua namna ya kuhandle situation yoyote. Uliza Gordon Brown na yule mwanamama ambaye miaka yote alikuwa anaipigia labour.

Siasa na ukombozi wa nchi hii si suala lako binafsi, ni ushirikiano wa wote wanaopenda maendeleo. Wengine wanajoin late, wengine mapema, lengo ni moja. Hata kama aliipinga CHADEMA mwanzo, kwani hakuna uwezekano wa kubadili msimamo? Kwa nini uanze kutilia mashaka watu ambao hata hujui kuwa ni chama gani, na uko radhi kuwapokea ambao unawajua kabisa wametoka CCM na siku zote walikuwa wanapiga kura ya kuukandamiza upinzani bungeni?

Watu hatuchangii hapa kwa maslahi binafsi, bali mstakabali wa Taifa, tunajaribu kuwaunga mkono walio kwenye mstari wa mapambano kwa namna tunavyoweza na kwa kadri ya uwezo wetu, na si wote lazima tuwe na nembo. Siasa si suala la kutaka kusifiwa na kuungwa mkono kwa kila utakalosema. Kwa sasa CHADEMA inahitaji msaada wa aina yoyote wa wote wanaoitakia mema nchi yetu, sio muda wa kubagua watu, usije ukaungana na JK kukataa kura za baadhi ya watu katika nchi.
Kwa hili fikiri tena, siasa haiendi hivyo ndugu! Wengine watabadili mwelekeo siku ya kupiga kura, huwezi kukataa kura yao, sasa maana ya kampeni iko wapi? Usichukulie akili ya MS ndio ya wote hapa JF....
 
Ukisoma maelezo yako kwa juu juu utadhani ulikuwa unamwambia Quinine kumbe unawaambia wale wote wanaowaona wanaCCM wanao-join leo Chadema kama mizoga, najua wewe huna gutz za kuwataja majina wengine hizo gutz tunazo.

Lakini kwa vile umeamua kumtumia Quinine kama carrier ili ujumbe ufike mimi sina tatizo nafikiri umefikisha ujumbe, ila elewa kuwa hata viongozi wa Chadema wanataka kura ya Mrema lakini wanamtaja wazi wazi tena kwa jina kuwa hawawezi kuungana naye ni pandikizi.
 
Mkuu wangu unajua wanishangaza..
wewe unaunga mkono kuingia kwa wale waliokimbia CCM kina Mpendazoe lakini unapinga hawa waliopo hapa JF wakiingia Chadema..Kwa nini usiwapokee wote kwa imani ile ile?
 
Mkuu wangu issue ya Mpendazoe ilitushtua wengi na ku taste uchungu wa nyogo kinywani, hili halina Steve Di wala Mkandara - It is a fact!..
Hata mimi ilinistua lakini issue isitumike ku disqualify Chadema nzima maana watu wanatumia hilo kukihukumu chama ukizingatia kuwa kuna watu wenye neg na Chadema toka zamani, wanaitumia hiyo loop hole kama ndiyo sababu ya kuwaita watu majina ya ajabu ajabu makapi, makombo, mizoga kwa vile tu wamehamia Chadema.
 
Mkuu wangu unajua wanishangaza..
wewe unaunga mkono kuingia kwa wale waliokimbia CCM kina Mpendazoe lakini unapinga hawa waliopo hapa JF wakiingia Chadema..Kwa nini usiwapokee wote kwa imani ile ile?
Mkandara

Kuna mtu anapinga watu kuingia Chadema how? au unataka kuniwekea maneno kama MMKJ anavyosemaga, mimi ninachopinga ni unafiki wa type ya Mrema, Period.
 
Hata mimi ilinistua lakini issue isitumike ku disqualify Chadema nzima maana watu wanatumia hilo kukihukumu chama ukizingatia kuwa kuna watu wenye neg na Chadema toka zamani, wanaitumia hiyo loop hole kama ndiyo sababu ya kuwaita watu majina ya ajabu ajabu makapi, makombo, mizoga kwa vile tu wamehamia Chadema.

Mkuu Quinine, kwenye thread ya Rev. Kishoka [https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/69909-chadema-ole-wenu-mkiipokea-mizoga-ya-ccm-2.html] nilichallenge adhma yako ya kutaka kuonesha unamjua Rev. Kishoka na pahala alipo, hivyo kuchangia ukiukaji wa sheria za JF.

Pia kuhusiana na neno 'makombo' kama alivyolitumia Rev. Kishoka kwenye thread hiyo na mantiki liliyobeba, nilisema kinagaubaga kwenye post yangu [ https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...u-mkiipokea-mizoga-ya-ccm-2.html#post1029499] kwamba, maana yake uliyotaka wasomaji waamini kuwa neno makombo lilikuwa ninalenga personalities za watu nje ya ilivyokusudiwa na mwanzisha thread ulikuwa upindishaji wa mjadala kwa makusudi uliyojua wewe.

Quinine, najibu hiyo post yako kwa kutumia reference ya mjadala uliopita nikiamini kwamba, yawezekana kabisa jibu langu kwenye thread hiyo ndiyo lililopelekea wewe kujaribu kuendeleza ubishi usiokuwa na mashiko kwenye hii thread. Kama sijapatia, na uniwie radhi!!
 
Labda mimi sijazisoma vizuri sheria za JF, hivi kujua sehemu mwanaJF anapokaa ni ukiukwaji wa sheria basi sheria zao ni kiboko zaidi ya sheria za nchi, wanaJF wenyewe mara nyingi wanatumiana post za wazi mfano tukutane UDASA mara niko Texas hawajui kwamba zinasomwa dunia nzima.

Tuache hayo, swala la kumuita mtu mzoga, makombo si la kistaarabu kabisa kwa sababu yeyote ile, kwa hilo nitaendelea kupinga, hayo ni maneno ya mtu aliyefilisika hoja, na kuhakikishia ukianzisha thread ya aina hiyo utegemee respond yake itakuwa hivyo hivyo.

Mimi huwa sina tatizo na post ya mtu afterall watu wenyewe hatujuani, ila huwa najibu post kulingana na post ilivyo.
 
Quinine, kwa maelezo na maneno yako mwenyewe hapo juu nisingependa kuendelea na mjadala katika mkondo uliochukua mpaka hivi sasa. Kila mmoja wetu mwenye kuelewa anaweza kusoma tangu bandiko la kwanza nakuelewa yale uliyomaanisha na yale mimi na wengine tuliyo maanisha. Nashukuru.

Steve Dii
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom